Kazi ya nyumbani.

Imphuvyi

Senior Member
Aug 6, 2018
135
225
Husika na kichwa Cha habari hapo juu,
Anahitajika binti wa kufanya kazi ya kulea watoto wawili nyumbani kwa mtu, eneo dar es salaam kitunda.
Mtoto mmoja ana miaka mitano, mwingine ana miezi 7.
Awe na uwezo wa kulea watoto hao Kama mama yao. Kwani mama yao anapambana masaa mengi ktk shughuli zake za kimaisha usiku na mchana.
Awe na barua ya selikali ya mtaa au Kijiji anachotokea.
Umri sio kikwazo, hata akiwa mtu mzima inshallah!!
Ila asiwe chini ya miaka 22.
Mshahara 70 elfu. Kwa mwezi.
Asiwe ni mtu wa dharula za kila wakati kwani ataleta usumbufu kwa mama watoto
Awe mcha Mungu
Awe tayari kujighalamia nauli kokote atokako.
Mawasiliano, 0769636666.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom