Ni baada ya mbunge wa ubungo kupambana na uanzishwaji wa sheria ya baraza la vijana na kuwasilisha muswada bungeni, hivyo umepata kibali na kusomwa mara ya kwanza leo tarehe 21/12/2013. Hongera joh john mnyika kwa kazi nzuri.