Kazi ya Marketing

Iniho

Member
Jul 3, 2018
97
66
Hello wana JF,

Jamani kiukweli soko la ajira kwa sasa ni gumu kilichobaki vijana tujiajiri lakini tutajiajiri vipi wakati hatuna mitaji,Mtu unakuta uko mtaani mwaka wa 7 huu na cheti chako cha Business Administration au Uhasibu n.k.

Sasa rasilimali pekee ambayo nafikiri ni kutumia tu akili zetu kwa kuangalia nini tuko Nacho mbali na mitaji.tunaweza kujifunza kufanya Hzi kazi za Marketing namaanisha kuunganisha watu na wateja hii haiitaji hela ni akili tu.Ukipata mteja unalipwa kwa Commission.

Sasa Mimi ni Kijana(mdada) nimeona tugawane umasikini vijana wenzangu nahtaji mtu wa Kunisaidia issue za Marketing nina kampuni yangu issue kubwa tunayofanya ni kusupply product za chakula kokote penye uhitaji ila kwa sasa ni either dar na pwani tu nitaweza kufanya biashara.product ni mchele, Maharage,Matunda, Mboga mboga, Nyama, Samaki, Kuku.

Sehemu lengwa; Majumbani, Maofisini, Mahotelini, Mashuleni, Viwandani, Supermarket n.k.

Naomba ambaye yuko Tayari anichek tuzungumze zaidi mimi nitampigia Simu.Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Unaweza uka weka bidhaa zako hapa pia ili watu waone...
 
Naona umejaribu kuupamba udalali kwa icing sugar “biashara za Marketing” heheheh! Ni mwanzo mzur lakini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom