Kazi ya kutoa mbwa.

bothlegs

Senior Member
Apr 14, 2009
122
48
Soma nmaneno haya haraka haraka.
Kuna kazi ya kutoambwa kwa wanawake tu.
Asubuhi unatoambwa,mchana unatoambwa na jioni untaombwa.
Mshahara ni maelewano
Jee utaiweza?Tahadhari mbwa mwenyewe ni mkali!
 
Back
Top Bottom