Kazi ya kutafsiri, Kiingereza - Kiswahili! Jitengenezee Tsh. 100,000/- ndani ya siku mbili

Status
Not open for further replies.

myplusbee

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
3,612
6,153
UPDATES: GUYS, VERRY SORRY! TANESCO WALICHUKUA UMEME WAO TANGIA ASUBUHI NDIO MAANA NIKASHINDWA KUTOA FEEDBACK. IN SHORT, WATU WALISHAPATIKANA SINCE EARLY MORNING. I'LL RESPOND EVERY PM LATER BUT KWA SASA NIPO JOB, 35 MINUTES BEHIND THE TIME KUTOKANA NA KATIZO LA UMEME!

AHSANTENI WOTE MLIOONESHA INTEREST!

Guys, nina kazi ipo kwenye Excel Sheet, at least 1000 Rows. Moja ya columns ina English Description ambayo inatakiwa kuwa translated to Swahili. Sio word to word translation bali unatakiwa kuielewa content husika na kuaindika kwa lugha nyepesi inayoeleweka na wengi.

By lugha inayoeleweka na wengi nina maana ya kwamba Kiswahili chepesi hata kama sio standard! Kwa mfano, nasikia Kiswahili sanifu cha Computer ni tarakinishi! Kwenye kazi hii hatuhitaji maneno kama tarakinishi yasiyofahamika na wengi, bali tunahitaji maneno kama kompyuta, yaani commonly used language by Swahili speakers.

Material yenyewe is more of IT terms; kama vile description ya PC/Video Games, Apps, Softwares and the like. So, ingawaje sio lazima uwe some IT Guy lakini ukiwa IT Guy itakuwa ndo mzuka zaidi.

Ningependa kusisitiza kwamba this's not "word-to-word" translation bali "content" translation. Kwa mfano, English Description ambayo ni "Free, easy to use antivirus and anti-malware software program from Avast" ningeweza kuitafsiri kama "Programu ya bure na rahisi kuitumia inayoweza kuilinda kompyuta yako dhidi ya virusi na programu zingine hatari kwa kifaa chako"

ANGALIZO:
  1. Hii kazi inamtaka mtu ambae yupo 100% FREE kwa sababu naitaka haraka sana.
  2. Malipo ni Sh.100 per row. Remember, ONLY one sentence per row. Hiyo BLUE SENTENCE above ndiyo aina ya One Sentence ninayoizungumzia. Kuna angalau 1000 ROWS, which means, kama una mkono mwepesi, you can make at least Sh. 100,000 ndani ya muda mfupi!
  3. To be considered, translate AT LEAST 5 rows from the attached file below. Lengo langu hapa ni kuona kama unaweza kuifanya hiyo kazi kwa ufasaha.
  4. I don't promise, lakini kama kazi hii utaifanya vizuri, maybe siku zijazo nikakusukumia michongo mingine ya aina hii.
  5. DON'T EVER USE GOOGLE TRANSLATION!! Don't try to cheat coz' I'll know it right away.
PAYMENT MODE:
Sikujui, hunijui na kwahiyo TRUST NDIYO KITU MUHIMU ZAIDI KATI YETU! Ninachofahamu ni kwamba, siwezi kuvunja uaminifu wangu kwa 100K. NO WAY!! Kwahiyo ukiniamini, STAY ASSURED KWAMBA UTALIPWA TU!!

Kama huna imani na mimi, tunaweza kutengeneza mazingira rafiki zaidi kwa kila upande. Kwa mfano, tunaweza kuomba JF Management watusaidie kama mtu wa kati. Kwamba, ukishamaliza kazi, una-submit kwa JF Staff nami nampa mkwanja yeye (as Escrow Account). Nikishampa, ananipa kazi yako naikagua, na nikiridhika nayo, anakurushia mkwanja wako!

Hata hivyo, lazima nikiri kwamba mfumo huo hapo juu utanikosesha uwezo wa kuikagua kazi kwa sababu, especially ukishaanza, ningependa kukagua kila unapomaliza Rows 50 - 100 ili kuona inaendana na mahitaji na kurekebishana kabla ya kufika mbali zaidi.

KINYUME cha pendekezo langu hapo juu, nakaribisha ushauri wako vile unavyoona itafaa! Yaani pendekezo la namna gani unadhani litakufanya uamini malipo yako yatafanyika tu!

COMMUNICATION: ALL communication will be done through JF (PM)! Kabla ya kuchukua hii kazi, I can disclose my Identity to you ili ujisikie more secure!

SAMPLE: Nime-attack Excel File hapa chini. Row 3 - Row 11 ni mfano wa nini unatakiwa kufanya. Column B kuna English Description na Column C kuna Swahili Translation. Wewe utatakiwa kuweka Swahili Translation kwenye hii column C.

WHEN TO APPLY? Apply NOW, and be sure to start immediately! Don't apply kama unategemea kompyuta ya kuazima.

NOTE: GUYS, NIPO JOB HIVI SASA, THEREFORE BE AWARE THAT, I WON'T RESPOND TO ANYTHING WITHOUT A SAMPLE OF AT LEAST 5 COMPLETED ROWS
 
UPDATE: Nimejitahidi sana ku-upload file lakini linagoma! Therefore, unaweza kuona sample file kwa kufuata link hii: Dropbox - JF Translation7.csv

NOTE: UKISHINDWA KUTUMIA HIYO LINK, DROP YOUR EMAIL, na nitakutumia Sample File very soon!!!
 
Ukisikia kazi ndo hizi
Naona watu wanafanya masihara! Ukiwa na mkono mwepesi na unaamua ku-settle the whole weekend, kwa siku mbili unaweza ku-complete zaidi ya 500 Rows ambazo ni zaidi ya TSh. 50,000 in 2 days! Na kwa mwenye njaa kama mimi, kwa siku mbili napiga zaidi ya 1000 Rows na kuingiza at least 100,000/=
 
Hahaa, acha masihara Khantwe!! Don't forget, if you get hired and you're fast and efficient, na hapo hapo una njaa kama mimi, hiyo ni 50K to 100K in 2 days, or maximum in 3 days
Haha daah eti masihara, kweli naweza kufanya masihara kwenye jambo kama hili? Ni kweli laptop yangu imebuma haiwaki sijui ndio imekufa I don't know

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sasa naweza kukuamini; "the kubuma" part, lakini ulivyosema hauna PC!!! Anyway, sio kwamba naamini watu wote wana PC lakini naamini wote tuliojiunga JF from 2006 to 2014, majority hatuwezi kukosa PC!
 
Ni kweli lakini si unajua maisha huwa yanapanda na kushuka? Unaweza kuwa ulikuwa nayo 2010, 212 ukauza ukanunua 2015, 2018 ukaibiwa, vitu kama hivyo vipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli lakini si unajua maisha huwa yanapanda na kushuka? Unaweza kuwa ulikuwa nayo 2010, 212 ukauza ukanunua 2015, 2018 ukaibiwa, vitu kama hivyo vipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi sana, kwa 99%! Lakini linapokuja suala la kuuza mi sijui nimeumbwaje!! Yaani sikumbuki kama nimewahi kuuza kitu changu cha ndani; oh! Nimekumbuka! Nimewahi mara moja tena kwa kushurutishwa! Nilikuwa na HP Monitor ambayo ilikuwa imekaa tu ghetto! Kuna mshikaji akani-time wakati nimechoka hata jero ya vocha sina, akaniletea 80K, wekundu wekundu wanane wamekwiiva kishenzi; pumbavu sana yule jamaa!
 
Haha alikukomesha, nimetoa tu mfano mimi mwenyewe sijawahi kuuza kitu ambacho nilikinunua kwa matumizi yangu aisee never, ila kuna wakati unakuwa tight unaweza kujikuta umevunja mwiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha alikukomesha, nimetoa tu mfano mimi mwenyewe sijawahi kuuza kitu ambacho nilikinunua kwa matumizi yangu aisee never, ila kuna wakati unakuwa tight unaweza kujikuta umevunja mwiko

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa, ni kweli aisee lakini haya mambo mengine bhana ni tabia tu!! Mi nina mdogo wangu, usiomuone na kitu kizuri leo halafu ukamwonea donge, manake mkikutana wiki moja baadae, unakuta ameshakiuza!! Usishangae ukakuta ameuza S7 akaenda kununua used tecno ya 80K ili akapige mitungi!!! Mi najihisi kama mshamba fulani hivi, manake ni heri unishawishi nikupatie bure kuliko unishawishi nikuuzie! Au labda kv nimeshazoea kupigika!
 
Haha kupigika kunazoeleka? Ni tabia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma Translation and Transliteration, na nina speed ya angalau 55 words per minute kwenye kutumia kompyuta. Tafadhali, naiomba hiyo kazi. Namba yangu ya simu ni 0759947397. Email yangu ni:- hujumasr@gmail.com
Nimeshakutumia Kiongozi, so respond it quickly. If I like anyone's work, nitakuwa nashirikiana nae kila ninapopata issue ya namna hiyo!
 
Guys, nina kazi ipo kwenye Excel Sheet, at least 1000 Rows. Moja ya columns ina English Description ambayo inatakiwa kuwa translated to Swahili. Sio word to word translation bali unatakiwa kuielewa content husika na kuaindika kwa lugha nyepesi inayoeleweka na wengi.

By lugha inayoeleweka na wengi nina maana ya kwamba Kiswahili chepesi hata kama sio standard! Kwa mfano, nasikia Kiswahili sanifu cha Computer ni tarakinishi! Kwenye kazi hii hatuhitaji maneno kama tarakinishi yasiyofahamika na wengi, bali tunahitaji maneno kama kompyuta, yaani commonly used language by Swahili speakers.

Material yenyewe is more of IT terms; kama vile description ya PC/Video Games, Apps, Softwares and the like. So, ingawaje sio lazima uwe some IT Guy lakini ukiwa IT Guy itakuwa ndo mzuka zaidi.

Ningependa kusisitiza kwamba this's not "word-to-word" translation bali "content" translation. Kwa mfano, English Description ambayo ni "Free, easy to use antivirus and anti-malware software program from Avast" ningeweza kuitafsiri kama "Programu ya bure na rahisi kuitumia inayoweza kuilinda kompyuta yako dhidi ya virusi na programu zingine hatari kwa kifaa chako"

ANGALIZO:
  1. Hii kazi inamtaka mtu ambae yupo 100% FREE kwa sababu naitaka haraka sana.
  2. Malipo ni Sh.100 per row. Remember, ONLY one sentence per row. Hiyo BLUE SENTENCE above ndiyo aina ya One Sentence ninayoizungumzia. Kuna angalau 1000 ROWS, which means, kama una mkono mwepesi, you can make at least Sh. 100,000 ndani ya muda mfupi!
  3. To be considered, translate AT LEAST 5 rows from the attached file below. Lengo langu hapa ni kuona kama unaweza kuifanya hiyo kazi kwa ufasaha.
  4. I don't promise, lakini kama kazi hii utaifanya vizuri, maybe siku zijazo nikakusukumia michongo mingine ya aina hii.
  5. DON'T EVER USE GOOGLE TRANSLATION!! Don't try to cheat coz' I'll know it right away.
PAYMENT MODE:
Sikujui, hunijui na kwahiyo TRUST NDIYO KITU MUHIMU ZAIDI KATI YETU! Ninachofahamu ni kwamba, siwezi kuvunja uaminifu wangu kwa 100K. NO WAY!! Kwahiyo ukiniamini, STAY ASSURED KWAMBA UTALIPWA TU!!

Kama huna imani na mimi, tunaweza kutengeneza mazingira rafiki zaidi kwa kila upande. Kwa mfano, tunaweza kuomba JF Management watusaidie kama mtu wa kati. Kwamba, ukishamaliza kazi, una-submit kwa JF Staff nami nampa mkwanja yeye (as Escrow Account). Nikishampa, ananipa kazi yako naikagua, na nikiridhika nayo, anakurushia mkwanja wako!

Hata hivyo, lazima nikiri kwamba mfumo huo hapo juu utanikosesha uwezo wa kuikagua kazi kwa sababu, especially ukishaanza, ningependa kukagua kila unapomaliza Rows 50 - 100 ili kuona inaendana na mahitaji na kurekebishana kabla ya kufika mbali zaidi.

KINYUME cha pendekezo langu hapo juu, nakaribisha ushauri wako vile unavyoona itafaa! Yaani pendekezo la namna gani unadhani litakufanya uamini malipo yako yatafanyika tu!

COMMUNICATION: ALL communication will be done through JF (PM)! Kabla ya kuchukua hii kazi, I can disclose my Identity to you ili ujisikie more secure!

SAMPLE: Nime-attack Excel File hapa chini. Row 3 - Row 11 ni mfano wa nini unatakiwa kufanya. Column B kuna English Description na Column C kuna Swahili Translation. Wewe utatakiwa kuweka Swahili Translation kwenye hii column C.

WHEN TO APPLY? Apply NOW, and be sure to start immediately! Don't apply kama unategemea kompyuta ya kuazima.

NOTE: GUYS, NIPO JOB HIVI SASA, THEREFORE BE AWARE THAT, I WON'T RESPOND TO ANYTHING WITHOUT A SAMPLE OF AT LEAST 5 COMPLETED ROWS
Mkuu, I am interested, nitumie hiyo sample work ya 5 rows tuanze kazi.

Send it to this email :...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom