kazi ya kununua

reginahope

Senior Member
Mar 26, 2013
163
30
habarini wanajf.jamani binafsi sina amani kutokana na kutokuwa na kazi mda mrefu. hivyo niko tayari hata kununus kazi. kazi zimekuwa ngumu sn hasa kama hauna mtu unayemfahamu katika system. kwa anayeweza kunisaidia kwa hili nipo tayari kumpa pesa safi cha msingi nitimize ndoto yangu ya kuajiriwa. kwa aliye tayari naomba anipm
 
Ongeza hizi taarifa muhimu kwa swala la kazi
  • Elimu
  • Taaluma uliyonayo
  • Umri
  • Mahala ulipo - Na kama upotayari kufanya kazi hata vijijini
Kila laheri, usikate tamaa, ipo siku utafanikiwa kupata kazi
 
siku hizi kazi hawaangalii umesoma nini, wanaangalia anakujua nani....
 
Hii inaonekna kwamba sio muaminifu na hautaki kumpa mungu nafasi yake.
Hiyo ni Rushwa tena ya kizamani sana.Na ninakuomba kwa faida yako ya humu duniani na mbele ya Mungu ondoa fikra hizo.

We unasema utampa mtu pesa nono kwanini usianze biashara ndogondogo kwa pesa hiyo.
Na ninani amekuambia walioajiriwa ndio wanamaisha mazuri.
Naimani mungu ndio aliekupa hicho kiasi cha pesa cha hongo,na tambua kwamba mungu amekujaalia hizo pesa kwa malengo maalum na hekma zake na sio kama ilivyo dhamira yako.

Amini mungu,weka juhudi utafanikiwa na usikimbilie katika njia za kumuudhi mungu kwa style hiyo.

Na inaonekana kwamba unaulimbukeni wa ajira za utumwa na sio kujituma mwenyewe.

Na Pia wewe mpaka hapo sio muaminifu,maana umeshindwa kumuamini mungu wako mwenyewe kwa kufanya juhudi na subira na kujituma binafsi,utashindwaje kumuibia hata muajiri wako au kusuka mpango wa Ujambazi kwa muajiri.

Kuwa makini,Life is how you make it.
 
Ongeza hizi taarifa muhimu kwa swala la kazi
  • Elimu
  • Taaluma uliyonayo
  • Umri
  • Mahala ulipo - Na kama upotayari kufanya kazi hata vijijini
Kila laheri, usikate tamaa, ipo siku utafanikiwa kupata kazi
graduate b.com in materials management npo singida umri 28yrs male
 
reginahope-mbona hulitendei haki jina lako??angalia usifikie huku....maana wengi hawataki pesa...
atwork.jpg
 
kiukweli kazi ni ngumu ila tunakosa ubunifu yakinifu kwa kazi... Usiwe na pupa wala papara... Umetafuta volunteerism ukakosa? Anzia hapo... Kisha tafuta watu kukujua na sio kutafuta uncle au mamdogo... Binafsi nina kazi mpk nakataaa.. Ila how did i make it there... Nilijichanganya mpk kusipofikirika.. Niliongea na watu kwa weledi... Jitume acha uvivu wa fikra bhaana... Hata kuuza pipi ni kazi.. Kufundisha tuition ni kazi... Kila kitu ni kazi.. Tatizo lenu.. Mnataka kazi za ofisini tu... Jitume kidogo kaka yangu.. Acha kulallama.. Haitasaidia
 
Hii inaonekna kwamba sio muaminifu na hautaki kumpa mungu nafasi yake.
Hiyo ni Rushwa tena ya kizamani sana.Na ninakuomba kwa faida yako ya humu duniani na mbele ya Mungu ondoa fikra hizo.

We unasema utampa mtu pesa nono kwanini usianze biashara ndogondogo kwa pesa hiyo.
Na ninani amekuambia walioajiriwa ndio wanamaisha mazuri.
Naimani mungu ndio aliekupa hicho kiasi cha pesa cha hongo,na tambua kwamba mungu amekujaalia hizo pesa kwa malengo maalum na hekma zake na sio kama ilivyo dhamira yako.

Amini mungu,weka juhudi utafanikiwa na usikimbilie katika njia za kumuudhi mungu kwa style hiyo.

Na inaonekana kwamba unaulimbukeni wa ajira za utumwa na sio kujituma mwenyewe.

Na Pia wewe mpaka hapo sio muaminifu,maana umeshindwa kumuamini mungu wako mwenyewe kwa kufanya juhudi na subira na kujituma binafsi,utashindwaje kumuibia hata muajiri wako au kusuka mpango wa Ujambazi kwa muajiri.

Kuwa makini,Life is how you make it.

ni mtazamo wako tu sikushangai nyie mnaojifanya mmeokoka ndo nyie nyie watenda dhambi wakuu. so beta ukanyamaza
 
kiukweli kazi ni ngumu ila tunakosa ubunifu yakinifu kwa kazi... Usiwe na pupa wala papara... Umetafuta volunteerism ukakosa? Anzia hapo... Kisha tafuta watu kukujua na sio kutafuta uncle au mamdogo... Binafsi nina kazi mpk nakataaa.. Ila how did i make it there... Nilijichanganya mpk kusipofikirika.. Niliongea na watu kwa weledi... Jitume acha uvivu wa fikra bhaana... Hata kuuza pipi ni kazi.. Kufundisha tuition ni kazi... Kila kitu ni kazi.. Tatizo lenu.. Mnataka kazi za ofisini tu... Jitume kidogo kaka yangu.. Acha kulallama.. Haitasaidia

asante sana kwa ushauri wako
 
Hiyo b com yako ulisoma chuo gani?

Hawakukufundisha SWOT analysis katika kuangalia fursa katika mazingira yanayokuzunguka..

Hiyo hela nono unayotaka kuihonga, ndio uitumie kama mtaji..
 
Nimekuelewa Dada Regina.
Ila ni ushauri tu na sio ugomvi.
We kwa akili yako ulifikiria humu kuna simple minded persons kama wewe,eti nataka kazi ya kununua, Ebbo

Kwa unavyojibu tu,inaonekana maisha yanakuchanganya dada yangu.

Sijui ungewa huku Zanzibar ungekuwa nani,maana mpaka kujitoa muhanga kwa Hongo ili upate kazi.Duh,

Acha ubwetee,na kwa style hiyo utakaa kijiweni mpaka udate,angalia tu usije ukauza utu wako kwa tamaa,
 
Hiyo b com yako ulisoma chuo gani?

Hawakukufundisha SWOT analysis katika kuangalia fursa katika mazingira yanayokuzunguka..

Hiyo hela nono unayotaka kuihonga, ndio uitumie kama mtaji..

mi nataka kazi sasa wewe hyo swot ndo umeona unaielewa sana ni wewe hv kwanin uende nje ya mada. sijakuomba ushauri kuhusiana na hyo swot ambayo nadhani uliikariri ulipokuwa ukisoma.hv unauhakika gan km mi sina biashar. ninachoomba ni kazi na maswala ya kujifanya mtaalamu wa swot siyataki
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom