Kazi ya kujitolea DSM

mapinduzi daima

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
1,725
2,698
Comrades

Ili kuzidi kuwezeshana na kupeana uzoefu wa kazi, kuna Taasisi iko hapa DSM inahitaji watalaam wa TEHAMA (ICT) kwa ajili ya kujitolea na kupata uzoefu kazini.

Kwa aliye na nia ya uhitaji hapa DAR tuwasiliane PM...
 
Kwa online hawawezi kufanya kazi na mtu au mpaka Dar? Najua mtaalam wa ICT anaweza kufanya kazi pale alipo pasipo kurundikana ofisini.
 
Bainisha sifa za wahitajika, mahali mlipo,mawasiliano na mambo mengine muhimu yaliyosalia na siyo kuingizana PM bila ya ukamilifu wa taarifa yako.
 
Bainisha sifa za wahitajika, mahali mlipo,mawasiliano na mambo mengine muhimu yaliyosalia na siyo kuingizana PM bila ya ukamilifu wa taarifa yako.

Comrade Tayukwa

Taasisi hiyo iko Dar es Salaam na wanahitaji wanaoweza kufanya upande wa;
1. Systems
2. ICT Security
3. Networks and Hardware
4. Database and Web Application

Kama unahitaji tafadhali tuwasiliane....
 
Nina ndugu zangu wawili mmoja diploma holder wa IT na mwingine ngazi ya cheti vipi kuna uwezekano kuja hao
Wa diploma anaweza kufikiliwa.
Uhakika zaidi utapatikana kwa wahusika/Taasisi baada ya huyo wa Diploma kuomba nafasi
 
Mnaongeza wale vijana wa kutukana upinzani mitandaoni na kumsifia mkulu kwa kila jambo? Afu muwalipe buku 7 per day
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom