Kazi ya kubadili mfumo uliopo ni ngumu kuliko tunavyodhania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi ya kubadili mfumo uliopo ni ngumu kuliko tunavyodhania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpendadezo, Jan 17, 2012.

 1. m

  mpendadezo Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KAZI YA KULETA MABADILIKO KTK NCHI HII HAIJAWAHI KUWA RAHISI, KUNA CHANGAMOTO NYINGI AMBAZO ZINATAKIWA KUFANYIWA KAZI MAPEMA. MFUMO ULIOPO NI WA MUDA MREFU UNA MIZIZI MIZITO.

  HUWEZI UKAMTISHIA KWA KUMWAMBIA WEWE NI FISADI IKATOSHA KUNG'OA MFUMO HUO. CDM HATA IKITUMIA NGUVU YA UMMA BADO 2015 HAWATAFANIKIWA KAMA HAWAJAONDOA CHANGAMOTO ZIFUATAZO:

  1. WAJENGE CHAMA VIJIJINI KWA KUANDAA WANACHAMA NA SI MASHABIKI

  2 . WAANZE KUWAANDAA WATU KWA MAANDAMANO YA KUDAI MFUMO KWA KUANDAA MAANDANO NCHI NZIMA KUANZIA SASA KUDAI KATIBA MPYA, UGUMU WA MAISHA, NA KUSHINIKIZA MAFISADI KUJIUZULU. IKUMBUKWE CDM HAWAJAWHI KUFANIKIWA KUANDAA MAANDAMANO YA NCHI NZIMA WANATAKIWA WAFANYE HIVYO ANGALAO MARA TATU KABLA YA 2015 KUWA WEKA UMMA TAYARI.

  3. ZANZIBAR HUU NDIAO MTIHANI MWINGINE WATUMIE MBINU KUNUNUA VIONGOZI AU OPERATION ZA KUTOSHA.
  4. WAANZE KUKUSANYA MICHANGO (FUND RISING MAPEMA KWA AJILI YA KAMPENI

  5.WAAKIKISHE WANSIMISHA WAGOMBEA KTK MAJIMBO YOTE NCHINI PIA WAWAANDAE VIJANA WASOMI NA WANCHAMA WATAKAOKUWA MAWAKALA VITUONI.

  6.WAANDAE VIJANA WATAKAOKABILIANA NA GREEN GUARD/BLUE GUARD

  7 Waandae sersa imara na wawe na itakadi inayoeleweka wajulikane wao ni liberal au ni demokratic wakiweza kufanya haya angalao wanaweza kuambulia seriali ya mseto huku wakijipanaga zaidi. KILA LA HERI.
   
 2. D

  DONALD MGANGA Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio imefika wakati wakifanye chama chao taasisi kama ilivyo CCM. Watambue kwamba Zanzibar kuna watu wameichoka CUF na vile vile CCM kwa hiyo watafute weak points wapate majimbo angalau manne mawili kila kisiwa na mchezo utakuwa umekwisha kwa CUF na CCM.
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Nadhani wenyewe watalichukua hili lkn pia jukumu la kukitangaza chama/kutangaza mabadiliko halitakuwa la chama pekee bali kila mmoja/individual kusambaza idea/logic ya mabadiliko kuanzia alipo na vjjni huko ambako wengi tumetokea
   
 4. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hakuna jambo gumu kama watu wana nia ya dhati."penye nia pana njia"
   
Loading...