Kazi ya Jeshi si mchezo...Adhabu gani sasa hizi!

Hii mbona kawaida, inanikumbusha enzi zetu za JKT kule mlangoni ukikamatwa umeiba ugali!!!
 
Tuwaheshimu, wanafanya kazi ya kutulinda hawa ndugu zetu....................heshimu please!
 
Hizi adhabu ndizo zilizomwathiri jk ubongo hadi sasa umeshindikana kutengemaa.
 
Hizi adhabu ndizo zilizomwathiri jk ubongo hadi sasa umeshindikana kutengemaa.

Na wewe umeathiriwa na nini mpaka unawazia wenzako mitazamo ambayo hata mtoto anayenyonya hawezi kuwaza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom