Kazi ya jeshi lazima ugangamare

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Mmmh!, kwa zoezi hili jeshi si lelemama hata kama ni mgambo.


jeshi.jpg
 
hao wanakalia maeneo ya kigogo, ni wazoefu msiwalaumu
 
sio mchezo, kukalia rungu, BWABWA hajaiona hii, maana angekuwa wa kwanza kuirusha
 
hii balaa si mchezo, ila hawa wajeshi si wangekaa chini tu, au nao wanapendaaaaaaa...............
 
kina dada wa umri wangu wengi wanaipenda kazi hii kwa sababu hiyo!!!

eh makubwa hayo kina dada tena wakati picha inaonyesha tu kuwa hao ni madume!!!! hii picha imeniacha hooi yaelekea hao wamezoea kuguswaguswa maeneo hayo nyeti thats why wameamua kuyakalia marungu ili angalau wapate stimuu! balaaaa:confused:
 
Back
Top Bottom