Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 307
Ni Tanzania pekee ambapo unaweza kuruhusiwa kufanya biashara, ukauza na fedha za mauzo zikapelekwa nchi nyingine!!
Ndiyo... makampuni yote ya madini Tanzania yanauza madini na malipo ya mauzo hayo hupelekwa moja kwa moja kwenye "mother companies" zinazomiliki migodi hiyo, kinacholetwa nchini ni kwa ajili ya kulipia gharama ndogo ndogo kama vi-mishahara vya vibarua(wafanyakazi wa kibongo), "sundry supplies" na kodi kidogo..
Mzigo wote unachukuliwa juu kwa juu.
Kama sheria zingelifuatwa mauzo ya dhahabu yote yangeliletwa nchini halafu makampuni hayo yakawalipa wadeni wao kutoka kwenye account zao za hapa na si vinginevyo basi shilingi ya Tanzania ingekuwa ndo yenywe nguvu kuliko karibu nchi zote za Afrika Mashariki... sisi ni wa tatu kwa uzalishaji wa dhahabu Afrika!!!!
Madhara ya kuruhusu makampuni kutoleta mauzo yao hapa ni mengi:

- Kushindwa kujua mapato halisi ya makampuni haya hivyo kushindwa kupata kodi kutoka kwenye makampuni haya kadri ipasavyo
- Fedha yetu kushindwa kuimalika kama ambavyo ilitakuwa kwa ku-export madini mengi
- Kuyakosesha mapato mabenki ya nchini na mengine mengi