Kazi ya bakery

SectionTwenty

JF-Expert Member
Aug 3, 2013
674
604
Habari zenu... daah jaman kama kuna mtu ana Bakery na anatafuta mtu wa kuslace mikate anifanye mpango coz nna uzoefu wa kazi hiyo... hata kama kuna kazi nyingine poa tu mi nipo tayari.
Tuwasiliane PM au hata hapa hapa. Nitashukuru sana.
 
Kwanza ujue kwamba siku hizi kuna machine za ku slice mikate.
Sasa labda uniambie wewe ni machine Operator.

Kisha unaweza kunipa Idea ya Biashara hiyo,naweza kufikira kuanzisha.
 
Habari zenu... daah jaman kama kuna mtu ana Bakery na anatafuta mtu wa kuslace mikate anifanye mpango coz nna uzoefu wa kazi hiyo... hata kama kuna kazi nyingine poa tu mi nipo tayari.
Tuwasiliane PM au hata hapa hapa. Nitashukuru sana.

Mkuu, ku slice mikate sio kazi ya kitaalamu. Baking is, slicing can be done by anybody.

Sasa unatakaje kazi moja tu ya slicing ambayo kimsingi haiwezi kuwa kazi ya mtu mmoja wa kuajiriwa?

If you have any other skills....especially in baking, please PM me.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom