Kazi Wizara ya Nishati na Madini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi Wizara ya Nishati na Madini

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Yahya, Jan 25, 2010.

 1. Y

  Yahya Member

  #1
  Jan 25, 2010
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya wadau nafasi hizo wenye sifa tujitose hapo.
   

  Attached Files:

 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,276
  Likes Received: 19,423
  Trophy Points: 280
  thanks
   
 3. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2010
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Wazee wamenyimwa kuongezewa muda nini, mbona nafasi nyingi namna hii.!!!!
   
 4. 2c2

  2c2 Member

  #4
  Jan 25, 2010
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nyingi ukimaanisha ni zaidi ya moja au?
  mkuuu unajua idadi ya watanzania waliosoma wapo mtaani wanauza machungwa na vyeti vyao au, izo kazi ni sehemu kidogo sana, hazimalizi hata watoto wa wakubwa ambao mpaka sa ivi walikuwa wanazisubiria,
   
 5. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Thank ila sasa kuandika Appl letter kwa mkono hapo ndio issue.
   
 6. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  mkono mtupu haulambwi...gonga kitufe kile mkuu....
   
 7. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  we andika barua tuma tu wakati huo ukiendelea kuuza machungwa yako. kazi haziji kama mkungu wa ndizi unavyodondoka...ipo siku na wewe utatoka tu....
   
 8. Mnene 1

  Mnene 1 Senior Member

  #8
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana kwa taarifa ya kazi mkuu, ngoja tujaribu bahati zetu
   
 9. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  mgongee kile kitufe pale kulia kwako!
   
 10. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Thanks mkuu kwa hizi kazi!
   
 11. c

  camila New Member

  #11
  Jan 28, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu tuma tena mbona hazifunguki?
   
 12. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Tunashukuru mdau,tuko pamoja na wewe
   
 13. m

  mmlaponi Member

  #13
  Feb 4, 2010
  Joined: Jan 29, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu ongera sana kwa kutujulisha wanachama wenzio wa JF kwa hizi vacancies tutajaribu bahati maana hizi nafasi za serikarin kuzipata isssue yaani hata kama unasifa!nitakupa mfano halisi ambao umetukuta vijana kama watatu ambao tumemaliza mwaka jana chuo kikuu cha Dar es salaam katikafani ya jiolojia(Geology) kam miezi 3 imepita Chuo Kikuu cha Dodoma kilitangaza nafasi za tutors na wakataka at least mtu awe na GPA ya 3.8 or above lakini cha kushangaza tuliomba wengi na majina walioitwa kwenye interview hawana sifa hiyo na tukaachwa ambao tulifanya vzr zaidi ya hiyo grade!kwani wote waliotwa tunawafahamu na walikuwa hawajafikisha hiyo grade,je kwa mtindo huu tutafika hasa ukizingatia ni sehemu nyeti kama hii ambayo tunategema kuzalisha wasomi wakalete ushindani ktk ajira internationally?
   
 14. GP

  GP JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2010
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  selection bodies are totally corrupt
   
 15. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nakupa tano
   
 16. m

  mmlaponi Member

  #16
  Feb 5, 2010
  Joined: Jan 29, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli mkuu!sasa tufanye nini ili kupambana na huu ufisadi?
   
 17. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kazi bwana serikalini mara chache sana wanafuata vigezo.
   
 18. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  MMlaponi
  Ni kweli kabisa huwa kuna matatizo kwenye some selection boards, especially pale wanapochujwa watu waliofanya vizuri hata bila kuwaita kwenye interviews.

  Naomba nitoe mfano wa tukio ambalo recently lilitokea kwenye Iinterview Moja ambayo nilihusishwa.
  Alikuwa anatakiwa mtu was IT Support na wakawa wame select watu watatu wa mwisho, mmoja alikuwa na Degree nzuri Computer Science and Electronics ana na GPA ya 3.9, mwingine alikuwa amemaliza Dar Tech, na mwingine alimaliza somwhere.
  Sasa wote mle ndani na Head Wa Department ya IT alitaka kumchukuwa huyu kijana mwenye GPA ya 3.9, was young fresh from school na very sharp.
  Tatizo likaja kwenye mawasiliano, dogo alikuwa anashindwa kabisa kujieleza lakini he was right in his replies.

  Sasa kwa sababu ilikuwa anatakiwa ku support Site za mining ambazo ni lazima akutane na watu wa mataifa mbali mbali ikaonekana ingekuwa tatizo, hivyo akatoswa.
  Funzo:
  - sometime mtu anawea kuwa hata CV kaandaa kienyeji sana..
  -kama tulivyoona, sometime performance kwenye interview inakuwa si ya kuridhisha pamoja na kuwa na grade nzuri etc..
   
 19. k

  kioja Member

  #19
  Feb 6, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nasiye vijeba hatutakiwi serikalini. mwisho umri miaka 45!!

  pamoja na hayo, swala la UJUZI halikupewa uzito wowote. ni 'qualifications' na vyeti vyako tu.
   
 20. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180

  Personal secretary 3 Mererani for what ? threee??? kweni hiyo ofisi kubwa kiasi gani,
   
Loading...