Kazi waliyotumwa wameimaliza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi waliyotumwa wameimaliza

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Bujibuji, Nov 1, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,251
  Trophy Points: 280
  Wale vibaraka waliotumwa na sisiemu kuja kuchafua hali ya hewa hapa JF muda wao wa kazi umeisha na sasa wanarudi rasmi kwenye shughuli zao nyingine.
  Ninaamini JF itarudui kwenye status yake ya miaka yote.
  Malaria Sugu na kundi lako kwaherini, pia pole sana kwa kupoteza majimbo na kata nyingi.
  TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA
   
 2. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hope this message goes to the other side too.....
   
 3. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Poleni pia kwa kutotimia kwa matumaini yako. Tutaendelea kusoma ila kuchangia itakuwa mara chache chache, mara 1 baada ya miezi kadhaa sio mbaya. Ila mpaka aapishwe JK ndiyo tutatulia kiasi!
   
 4. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  You are Evil.Mageuzi ndo yameanza kati ya leo na miaka 10 ijayo sioni kama utaendelea kufurahia udhalimu wenu tena.
  It's getting more harder and harder dawg,Dr. Slaa kawasha moto mbaya.
  And you know what? There are millions of Dr. Slaas coming!..Hold on.
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  sound of a loser
   
 6. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  True there are millions of Dr Slaa ma dear, mind you within CCM also!
   
 7. T

  Tanzania Senior Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 6, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuipiswa si Kutawala.
   
 8. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nawe umechapia ni "kuapishwa". Anyway kuapishwa ni process ya kuanza kutawala
   
Loading...