Kazi vijana wa masoko

echuma

JF-Expert Member
May 20, 2010
311
79
Wanahitajika vijana 6 wenye kujituma na uzoefu wa kazi ya masoko.

Vigezo:
Uzoefu wa kazi kuanzia mwaka mmoja,kiwango cha elimu kitapimwa na uwezo na uzoefu wa kazi,awe na uwezo wa kuongea na kuandika lugha ya kiingereza na kiswahili kwa ufasaha, kama unahisi unasifa za kutosha tuma cv na cover letter kwenda
legacyimpression@gmail.com

NB: malipo ni kwa kamisheni

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bila kutaja jina la kampuni na aina ya bidhaa au huduma inayotakiwa kutolewa na hao vijana wa masoko, bila shaka kila mwenye akili timamu atahusisha utapeli wa style ya ajira!
 
ndugu kwanza taja malipo na kampuni maana isije ikawa kazi zile za kuzungusha watoto wa wenzenu juani kwa 500/= tsh
 
Bila kutaja jina la kampuni na aina ya bidhaa au huduma inayotakiwa kutolewa na hao vijana wa masoko, bila shaka kila mwenye akili timamu atahusisha utapeli wa style ya ajira!

hahahah wala hujakosea.....na itakua promotion....
 
Jina la kitabu husadifu maudhui....uandishi wa mhusika kutangaza ajira hii na payment methods inasadifu hali halisi ya kampuni hiyo...
Means that they are not serious and the payment as well as career development are at stake...
 
Kuna kipindi itafika ni ngumu kuchambua pumba na mchele

Wanaohisi ni nafasi kwao wafanye hivyo na wanaohisi ni utapeli wasitume hakuna anaekulazimisha kutafuta kazi

Sent from legacy company
 
Ingekuwa niko kwenye press conference ningejibu kila swali ili niwaridhishe lakini nimetoa nafasi za kazi kusaidia kupunguza wimbi la vijana wasio kuwa na ajira mtaani kwenu napo unataka nijieleleze kama natafuta masoko

Eti lengo ni kupunguza vijana wasio na ajira... Mtatutumia sana mwaka huuu.
 
Utatumiwa iwapo utakubali kutumika nani kakuambia ukiambiwa kazi umepata na mwajiri basi ndio ni lazima uifanye jipe thamani yako kisha angalia na malipo yake kama hayaendani ondoka sio unaanza kazi halafu unalalamika unanyonywa huo ni ujinga

Sent from legacy impresion company
 
Ingekuwa niko kwenye press conference ningejibu kila swali ili niwaridhishe lakini nimetoa nafasi za kazi kusaidia kupunguza wimbi la vijana wasio kuwa na ajira mtaani kwenu napo unataka nijieleleze kama natafuta masoko

Sent from legacy company

Hao vijana unawasaidia kwa kuwatembeza juani? Ukiona unakazi kama hizi usitumie nguvu zako kutangaza jamii forum,kingine niliway kuambiwa kuna kazi nilipofika nakutana na tai kama ulimi wa mamba na maneno mengi kama muhubiri wa dini mnakera sana sio siri,hiyo kampuni inazalisha almasi mpaka ushindwe kuitaja? Watafuta ajira tupo lakini hutupati kama samaki na chambo,shwain we!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sio lazima pia jaribu kushirikisha akili yako unapokuwa unatuma au kujobu uzi wa mtu jina la kampuni naliandika kila nnaputuma na kujibu ila kwa vile mnategemea kazi za kutafuniwa kila kitu hata huoni pole

Sent from legacy impresion company
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom