Kazi utumishi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi utumishi!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mkeshahoi, Oct 21, 2010.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kwa Mujibu wa blogu ya naomba kazi


  NAFASI ZA KAZI UTUMISHI TANZANIA

  MWANANCHI JUMATATU OKTOBA 18,2010

  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
  OFISI YA RAIS
  SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
  KUMB. NA AC.13/231/01
  NAFASI ZA KAZI

  Sekretariati ya ajira katika utumishi wa umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa sheria ya utumishi wa umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika utumishi wa umma kwa niaba ya waajiri (Taasisi za Umma).
  Katibu wa Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma anakaribisha maombi ya watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi kwa waajiri mbalimbali katika utumishi wa umma.

  1. AFISA KUMBUKUMBU DARAJA LA II – (NAFASI 1)
  2. MCHAPA HATI DARAJA LA II – ( NAFASI 5)
  3. MTAKWIMU DARAJA LA II (STATISTICIAN GRADE II)- (NAFASI 10)
  4. AFISA MICHEZO DARAJA LA II ( GAMES AND SPORTS OFFICER GRADE II) – (NAFASI 15)
  5. AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI – (NAFASI 100)
  6. MHADROLOJIA DARAJA LA II ( GYDROLOGIST GRADE II) – (NAFASI 35)
  7. AFISA KAZI II (LABOUR OFFICER II) – ( NAFASI 30)
  8. MHAIDROJIOLOJIA DARAJA II (HYDROGEOLOGISTS GRADE II) – ( NAFASI 5)
  9. FUNDI SANIFU DARAJA LA II ( TECHNICIAN GRADE II) – HAIDROLOJIA – (NAFASI 88)
  10. FUNDI SANIFU DARAJA LA II ( TECHNICIAN GRADE II) – HAIDROJIOLOJIA – (NAFASI 90)
  11. MJIOLOJIA DARAJA LA II (NAFASI 4)
  12. MHANDISI DARAJA LA II (NISHATI) – (NAFASI 4)
  13. MHANDISI DARAJA LA II(MITAMBO) – (NAFASI 2)
  14. MHANDISI DARAJA LA II – BAHARINI (MARINE ENGINEER) – (NAFASI 2)
  15. MHANDISI DARAJA LA II ( UJENZI) – (NAFASI 10)
  16. FUNDI SANIFU DARAJA LA II (UJENZI) – (NAFASI 32)
  17. FUNDI SANIFU II(UFUNDI UMEME) – (NAFASI 30)
  18. FUNDI SANIFU II – MITAMBO YA BARAFU (REFRIDGERATION TECHNICIAN) 0 (NAFASI 7)
  19. FUNDI SANIFU MSAIDIZI (UFUNDI NA UMEME) NAFASI 2
  20. AFISA MAENDELEO YA JAMII DARAJA II – (NAFASI 20)
  21. AFISA UGAVI MSAIDIZI – (NAFASI 146)
  22. AFISA ARDHI DARAJA LA II – (NAFASI 10)
  23. MPIMA ARDHI DARAJA LA II – (NAFASI 32)
  24. AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II - ( NAFASI 15)
  25. MTHAMINI DARAJA LA II – (NAFASI 1)
  26. MKADIRIAJI UJENZI DARAJA LA II (QUANTITY SURVEYOR GRADE) – (NAFASI 10)
  27. MSANIFU MAJENGO (ARCHTECT ) DARAJA LA II – (NAFASI I)
  28. AFISA ARDHI MSAIDIZI – (NAFASI 5)
  29. FUNDI SANIFU DARAJA LA II – (NAFASI 35)
  30. FUNDI SANIFU II (TUTOR) – (NAFASI 4)
  31. AFISA MISITU DARAJA II – (NAFASI 15)
  32. AFISA USAFIRI DARAJA LA II – ( NAFASI 5)
  33. AFISA UVUVI DARAJA LA II – (NAFASI 5)
  34. MVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II – (NAFASI 37)
  35. MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA II (NAFASI 27)
  36. AFISA UFUGAJI NYUKI II – (NAFASI 6)
  37. MSAIDIZI UFUGAJI NYUKI DARAJA LA II – (NAFASI 12)
  38. KATIBU WA KAMATI DARAJA LA II – (NAFASI 8)
  39. MKAGUZI WA MJI – (NAFASI 11)
  40. MPISHI DARAJA LA II – (NAFASI 7)
  41. DOBI DARAJA LA II – NAFASI 5
  42. MHUDUMU WA JIKONI/MESS DARAJA LA II – (NAFASI 30)
  43. AFISA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III – (NAFASI 135)
  44. AFISA MTENDAJI WA KATA DARAJA LA III – (NAFASI 34)
  45. AFISA MTENDAJI WA KATA DARAJA LA II – (NAFASI 5)
  46. AFISA TARAFA – (NAFASI 12)
  47. AFISA MTENDAJI MTAA II (NAFASI 10)
  48. MKUTUBI DARAJA LA II (NAFASI 5)
  49. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (NYARAKA) – NAFASI 30
  50. KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III – NAFASI 182
  51. MPOKEZI – (NAFASI 6)
  52. MSAIDIZI WA MAKTABA DARAJA LA II ( NAFASI 10)
  53. MSAIDIZI WA OFISI – NAFASI 44
  54. MLINZI - NAFASI 204
  55. DEREVA MITAMBO DARAJA LA II – NAFASI 1
  56. DEREVA WA VIVUKO DARAJA LA II – NAFASI 9
  57. DEREVA DARAJA LA II – (NAFASI 276)
  58. MHADHIRI MSAIDIZI (ASSISTANT LECTURER) – NAFASI 1
  59. MHADHIRI MSAIDIZI (ASSISTANT LECTURER) – NAFASI 2
  60. AFISA UTUMISHI MWANDAMIZI (NAFASI MOJA)
  61. MKAGUZI WA HESABU WA NDANI DARAJA LA III (INTERNAL AUDITOR GRADE III – NAFASI 1)
  62. AFISA MITIHANI MWANDAMIZI II (NAFASI 1)
  63. MTAALAMU WA MIFUMO YA TAARIFA II – DATA BASE ADMINISTRATOR (NAFASI 1)
  64. MCHAMBUZI WA MIFUMO (SYSTEM ANALYST) – NAFSI 1
  65. MPIGA CHAPA MSIMAMIZI II (PRINTING SUPERVISOR ) NAFASI MOJA
  66. MPIGA CHAPA MWANDAMIZI II (SENIOR PRINTER) NAFASI MBILI
  67. MPIGA CHAPA MWANDAMIZI II (SENIOR BINDER) NAFASI MBILI
  68. MPIGA CHAPA MSIMAMIZI II (BINDING SUPERVISOR ) NAFASI MOJA
  69. KATIBU MAHUSUSI DARAJA LA I NAFASI 3
  70. KATIBU MAHUSUSI DARALA LA II NAFASI 1
  71. MLINZI MWANDAMIZI NAFASI 3
  72. FUNDI SANIFU MKUU NAFASI 1
  73. FUNDI SANIFU MWANDAMIZI
  74. AFISA MILIKI II (ESTATE OFFICER) NAFASI 1
  75. MHASIBU II NAFASI 2
  76. MPIMAJI HALI YA HEWA MSAIDIZI (METEOROLOGICAL ASSISTANTS II) – NAFASI 45
  77. MCHAMBUZI WA MIFUMO YA KOMPYUTA (SYSTEM ANALYST II ) – NAFASI 1
  78. MUUNDAJI WA PROGRAM ZA KOMPYUTA (COMPUTER PROGRAMMER) – NAFASI 1
  79. MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT II) – NAFASI 1
  80. AFISA UHUSIANO ( PUBLIC RELATIONS OFFICER II) - NAFASI 1
  81. MKAGUZI WA HESABU ZA NDANI II (INTERNAL AUDITOR II) NAFASI 2
  82. AFISA UHUSIANO NA MASOKO MWANDAMIZI (NAFASI 1 ) SENIOR PUBLICITY AND MARKETING OFFICER
  83. MENEJA MIPANGO (NAFASI 1) PLANNING MANAGER
  84. MRATIBU WA MITAALA – SOMO LA HISTORIA (NAFASI 1) CURRICULUM COORDINATOR
  85. MHASIBU MKUU DARAJA LA II (NAFASI 1) – PRINCIPAL ACCOUNTANT
  86. MHASIBU MSAIDIZI (NAFASI 1) ASSISTANT ACCOUNTANT
  87. DEREVA MWANDAMIZI (NAFASI 1)


  MASHARTI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE
  1. Waombaji wawe raia wa Tanzania
  2. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa
  3. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa umma, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao na waajiri wajiridhishe ipasavyo.
  4. Barua za maombi ziambatanishwe na maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed CV) pamoja na klpicha moja ya passport size ya hivi karibuni iandikwe jina.
  5. Kwa urahisi wa mawasiliano, waombaji waonyeshe anwani na namba za simu za kuaminika.
  6. Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya kidato cha nne na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.viambatansisho hivyo vibanwe sawasawa kukondoa uwezekano wa kudondoka na kupotea. "Testmonials", "Provisional Results." "Statement of Results" HAVITAKUBALIWA.
  7. Waombaji wawe na umri usiozidi miaka 45
  8. Waombaji waliostaafishwa katika utumishi wa umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha katibu mkuu kiongozi
  9. Aidha matangazo haya yanapatikana kwenye tovuti zifuatazo:- Presidents Office - Public Service Management - Home na pmoralg.go.tz.
  10. Waajiri wote waliopo nje ya Dar es salaam wanaombwa kusambaza matangazo haya kwenye mbao za matangazo na maeneo mengine.
  11. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tareh 5 Novemba, 2010, baada ya Tangazo hili kutoka gazetini kwa mara ya kwanza.
  12. Maombi yanaweza kuandikwa kawa lugha ya Kiswahili au kiingereza na yatumwe kupitia anuani ifuatayo:-

  Katibu,
  Sekretariati ya ajira katika utumishi wa umma,
  SLP 63100,
  Dar es salaam.

  AU

  Secretary,
  Public Services Recruitment Secretariat,
  P.O.BOX 63100
  Dar es salaam.
   
 2. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu. Ngoja tusambaze taarifa kwa ndugu, jamaa, marafiki na maadui.
   
 3. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  6. Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya kidato cha nne na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.viambatansisho hivyo vibanwe sawasawa kukondoa uwezekano wa kudondoka na kupotea. “Testmonials”, “Provisional Results.” “Statement of Results” HAVITAKUBALIWA.  NAOMBA KUULIZA KAMA NAWEZA KUTUMIA TRANSCRIPT (KWA WANAFUNZI TULIOMALIZA MWAKA HUU) KUOMBA HIZO KAZI AU MPAKA NIWE NA CHETI KABISA KUTOKA CHUONI....MSAADA PLS
   
 4. M

  Mama Beto Member

  #4
  Oct 22, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na mimi naunganisha swali hilo hapo mkuu...msaada please
   
 5. mwankuga

  mwankuga JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2010
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  inakuwa ngumu sana kuajiriwa kwa provisional resurt statement katika taasisi za serikali kwa uzoefu wangu japo kuwa kuna kesi kadhaa za watu kuajiriwa bila cheti halisi.hivyo nawashauri kujaribu kuapply hivyo hivyo naana hakuna utakachopoteza kwa kutuma maombi.nawatakieni kila la kheri
   
 6. mwankuga

  mwankuga JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2010
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  naulizia qualifications zinazotakiwa kwa kazi ya labour officer(afisa kazi)
   
 7. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  thanks for your replu Mr.
   
 8. m

  mmlaponi Member

  #8
  Oct 25, 2010
  Joined: Jan 29, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Transcript is ok!but not provisional statement of results!
   
 9. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tunashukuru kwa taarifa!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kwa uzoefu wangu... Ajira za serikalini ni lazima uwe na vyeti... vinginevyo hupati kazi hata kama umefaulu usaili(nina ushahidi wa hilo)... vinginevo uanze masuala ya kupenyeza rupia!!
   
Loading...