kazi supermarket Dar es salaa

kingtz

Member
Oct 24, 2011
36
3
wanahitajita wafanyakazi sita wa supermarket wawe na uzoefu usiopungua miaka 3 katika kazi ya supermarket/ au duka kubwa awe ni mtu anaye weza kujisimamia mwenyewe kufanya stock analysis na kutumia computer vizuri, ajue mambo ya market strategic

ofisi ipo Dar es salaam ,tabata maelezo mengine atajibiwa
mshahara mnono utatolewa pamoja na marupurupu

tuma CV kwenye mail ifuatayo elly0002@yahoo.com

dead line 4/12/2012
 
Ahsante Mkuu!
Lakin Vp Kuhusu Kiwango Cha Elimu, Umri, Muda Wa Kazi?
 
Mshahara mnono ndo kiasi gani?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wanahitajita wafanyakazi sita wa supermarket wawe na uzoefu usiopungua miaka 3 katika kazi ya supermarket/ au duka kubwa awe ni mtu anaye weza kujisimamia mwenyewe kufanya stock analysis na kutumia computer vizuri, ajue mambo ya market strategic

ofisi ipo Dar es salaam ,tabata maelezo mengine atajibiwa
mshahara mnono utatolewa pamoja na marupurupu

tuma CV kwenye mail ifuatayo elly0002@yahoo.com

dead line 4/12/2012

Upuuzi kazi gani elfu 50,000 kwa mwezi sanasana watoto kufundishwa kutafuta wanaume wa kuwatunza. waache wakae vijijini kuliko kuja kujiuza na mishahara isiyokidhi hata mlo wa wiki
 
Hayo mawasiliano uliyotupatia pia yanatia shaka, hiyo ni email ya mtu binafsi na tunajuwa supermarkets huwa ni za makampuni,mi naona kuna watu wnatafuta CV za watu kwa malengo yao machafu, lakini Mungu atawalaani. Over.
 
pia tbt ni kubwa tbt segerea kimanga au kisiwani? mi ni mwenyeji sana wa mitaa hyo, hakuna honorable spmkt oa kumlipa m2 laki 2 kwa mwez,kuna vimin spmkt tena wanao uza ni watoto na ma house grl wao.. tangazo ni nule n void abinitial.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom