Kazi serikalini siku hizi hazina job security.. mda wowote unaitwa jipu na unatumbuliwa tu

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,848
6,178
habari wadau..

miaka ya nyuma utumishi wa uma ulikuwa dili sana.. watu waliacha mishahara mikubwa private na kukimbilia serikalini kuifata job security..

ila awamu hii naona kila bosi anamkandamiza wa chini yake na anamuita jipu..

makada wa chama ambao ni wanasiasa kwa kifupi ndio wakurugenzi, madas, ma ras bila experience yoyote...

hao ndio wanatumbua watu hatari..

mkuu wa wilaya / mkoa ana uwezo wa kumtimua ofisa wa wizara yeyote ile bila wasi wasi..


hapo trump bado hajaapishwa nae afute misaaada yake usaid....

hapo ndipo watu watapunguzwa kazi kwa style ya kutumbuana tu...

tanzania ya viwanda naiona inakuja kwa spidi ya kutumbuana tu
 
>>> VYAMA vya WAFANYAKAZI wakati HUO havikuwa vya KISIASA kama ilivyo sasa >> wakati huo vyama vya wafanyakazi vilikuwa na uwezo wa kuipindua nchi kuliko hata ''majeshi '' ila sasa MTU anafukuzwa TUCTA wanakula VIROBA bar HII ni HATARI ""
 
Back
Top Bottom