Kazi nzuri TISS: Mwingine wa kundi la ‘Wasiojulikana’ aliwa kichwa

Basi huenda wameanza kushughulikiana na ukute hata ile ajari ya yule mwingine alitengenezewa.

Wamewatumia na sasa wanataka kuwatupa kama condom!!
Wajuvi wanasema kwenye hii tasnia kila mwisho wa uzi lazima Uwe na kifundo.mmoja anaweza tumwa fanya tukio na akatumiwa wengine watano wakazimana wenyewe kwa wenyewe mpaka kifundo kitokee.No loose ends
 
Thanks for info, kumbe kule ni kama JWTZ, mkimaliza deppo lazima muanzie quoter guard kuwa walinzi, mimi nilipiga deppo pale Airwing, ilikuwa ukipangwa ulinzi kule kwenye ndege siku hiyo ni neema, hakuna watu wanakatiza eneo hilo usiku, hivyo ni kulala tuu kusubiria mida mida kufyonza jet A na asubuhi vidumu vinaingia mtaani kama mafuta ya taa!. Nikikumbuka baadhi ya mambo ya kijeda hadi najishangaa ila all and all, any military training inakufanya uyaweze maisha yoyote na kuishi popote.

Huyo niliyemuulizia kumbe sio Nyaulingo, ni jamaa mmoja aliitwa Musibha Nyakulinga, baada ya TSJ sikuwahi kumuona tena wala kumsikia.

P
Hakua na tofauti na huyu bwana mkubwa
 
Bwana J K ambaye alikuwa akiratibu matukio ya ovyo ametemwa rasmi.

Ni habari zinazotia moyo kiasi kuwa kuna dhamira ya kweli kuleta mabadiliko chanya lakini replacement ya E N kuwa ndugu Mabu.... sisi wengine inatutia shaka, labda kama ni interim tu.

Kwenye rekodi zetu ndugu Mabu... ana rekodi inayotia shaka. Tumpe muda
Andika kitu kinachoeleweka bwana,what is this.Au ni kwa ajili ya a few people in JF wa TISS?
 
Mkuu mi limenikumbusha mbali kidogo! Waliopitia Mlimani wanalijua. Lilikuwa moja ya majina ya umoja wa wanafunzi; Ila kwingineko lilikuwa ufupisho wa moja ya jumuiya za michezo.
Sawa mkuu. Ifoza ni mji alikozaliwa Kachero wa kimataifa Evarist Chahali mwana va pakaya a.k.a Mbuyi Fileuke
 
Kwa hakika, ujeshi ulitujengea nidhamu. Wakufunzi walikuwa maafande wa JWTZ japo ni watu wa kitengo pia. Baada ya ngarambe za kwata and stuff, kikaja "kiama" cha "unarmed combat" (karate, judo, boxing). Wakati military drills ziliwekeza zaidi kwenye ukakamavu , unarmed combat ilitujaza nidhamu.

And throughout the course, two themes were explicitly evident:
1. Patriotism
2. Constant vigilance of an officer (afisa yupo kazini 24/7)

Tearjerking moment was siku ya kufunga mafunzo ambapo tuliapa huku tumeshika Katiba (tulishiriki pia kuchapisha toleo la mabadiliko ya sita - la vyama vingi - Malindi Printing Press... and no hakukuwa na hujuma yoyote ) na bendera ya JMT. Made us feel and realise uzito na umuhimu wa majukumu yaliyokuwa yakitusubiri mbele yetu.

Hopefully one of these days, "kampuni ya nyasi" will go back to its good old days. In my humble opinion, the two keys are patriotism and professionalism. Nothing good has ever come out of politicisation of any profession, let alone the noble intelligence profession.
Wewe jamaa usingezingua kipindi kile ulivyo force kwenda kusoma labda ungekuja kuwa kipilimba wa baadae...
 
Bwana J K ambaye alikuwa akiratibu matukio ya ovyo ametemwa rasmi. Huyu alikuwa kiungo mchezeshaji akiwa anajinasibu kuwa na nguvu isiyomithilika.

Ni habari zinazotia moyo kiasi kuwa kuna dhamira ya kweli kuleta mabadiliko chanya lakini replacement ya E N kuwa ndugu Mabu.... sisi wengine inatutia shaka, labda kama ni interim tu.

Kwenye rekodi zetu ndugu Mabu... ana rekodi inayotia shaka. Tumpe muda!
Sasa hao JK + EN ndo nani?sasa hao JK na EN ndio nani?
 
Screenshot_20190903-130138.png
 
Hakuna cha maana hapo, Ccm wako kwenye vitambulisho vya mpiga kura, chadema wako na wasiowajua kumbe wanawajua. Uchagizi ukifika wanalalamika kuibiwa , Zero brain is always on wrong timing.
Hahahahahah
 
Yule kigogo anajua kila kitu na aminiwa sana na wana harakati na Bavicha-..... yani yeye ndio kachukua nafasi ya Da Mange.....hahahaha
Aliyesema Bavicha ni nyumb***** alikua na IQ kubwa mno.Baada ya kimambe kajitokeza Kigogo naye anawashika sana masikio na mwingine anajiita Exspy hahahahahahah
 
As a matter of interest huyu Nyaulingo ni Nyaulingo gani?. Jina lake linaanzia na Mu?

Nakumbuka nikiwa TSJ tulisoma na mtu wenu mwenye jina hilo likianziwa na Mu, he was a good man, he was loaded na alikuwa na roho nzuri.

P
Alikuwa anaishi mbweni mrefu, sura ngumu, refer uzi wa mkuu wa watu flan flan kuna picha yake amevaa shati la draft
 
Bwana J K ambaye alikuwa akiratibu matukio ya ovyo ametemwa rasmi. Huyu alikuwa kiungo mchezeshaji akiwa anajinasibu kuwa na nguvu isiyomithilika.

Ni habari zinazotia moyo kiasi kuwa kuna dhamira ya kweli kuleta mabadiliko chanya lakini replacement ya E N kuwa ndugu Mabu.... sisi wengine inatutia shaka, labda kama ni interim tu.

Kwenye rekodi zetu ndugu Mabu... ana rekodi inayotia shaka. Tumpe muda!
Wasije kuhamia green guard hawa watu kwa sababu watakuwa bado hawana tofauti na wasiojulikana
 
Aliyesema Bavicha ni nyumb***** alikua na IQ kubwa mno.Baada ya kimambe kajitokeza Kigogo naye anawashika sana masikio na mwingine anajiita Exspy hahahahahahah
Nyumbu ni CCM kwani CCM ni wengi kama nyumbu walivyokuwa wengi mbugani
 
Death and replacement zitaendelea kuwepo mpk tunakufa wote!

Anayewekwa wawezakuta ni mbaya zaidi kuliko aliyekuwepo. Utendaji wa maafisa usalama hautakoma kisa kelele za mbu. Snowden ali-defect from USA but still FBI n CIA wapo ngangari na no operation ilifail!

Tujifariji...

Mgambo wa Kishumundu!
Sawa tunakubali lakini usifananishe CIA na hii kitu yetu wale wenzetu hata no 1 akiwa anazingua nae pia wanamfanyia zengwe na anakalishwa either by assassination or other way, wapo wachafu lakini huwa hawa survive
 
Back
Top Bottom