Wajuvi wanasema kwenye hii tasnia kila mwisho wa uzi lazima Uwe na kifundo.mmoja anaweza tumwa fanya tukio na akatumiwa wengine watano wakazimana wenyewe kwa wenyewe mpaka kifundo kitokee.No loose endsBasi huenda wameanza kushughulikiana na ukute hata ile ajari ya yule mwingine alitengenezewa.
Wamewatumia na sasa wanataka kuwatupa kama condom!!