Kazi nzuri kwa polisi wa Mwema kuchukua fedha kwa daladala(gongo la mboto kariakoo)

king11

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
327
79
Katika hali ya kusikitisha polisi wa trafiki wa mwema wameamuliwa kuchukua fedha madaladala ya gongo la mboto kariakoo kila asubuhi

Na kila wanye magari hayo wanapopita . nani amewapa risiti za faini kwani wanatumia vitabu vya mwaka jana . kwa mfano leo wamekamata gari takribani 70 na wameziachia sijui kuwa mwema ndio amewatuma hiyo au PCCB na usalama wa taifa wameshindwa kudhibi hali hii

Naomba wito wangu kama mkiweza madereva wa daladala muwagonge na magari na ikiwezekana muwaue kwani ndio chanzo cha umasikini kwa watanzania na mwema ikibidi naye akamatwe kwa kushindwa kudhibiti rushwa ya jeshi lake
 
jumatatu kazi kubwa itakuwa kutafuta picha zao na namba zao na kupeleka kwa waziri wa mambo ya ndani kwani mwema ndiye anayewatuma kufanya uovu wote
 
mwema yeye anawatuma polisi wachukue pesa na kiburi chake ni kwakuwa ameoa mdogo wa rais(shemeji)
 
na kila wanye magari hayo wanapopita . nani amewapa risiti za faini kwani wanatumia vitabu vya mwaka jana . kwa mfano leo wamekamata gari takribani 70 na wameziachia sijui kuwa mwema ndio amewatuma hiyo au PCCB na usalama wa taifa wameshindwa kudhibi hali hii

naomba wito wangu kama mkiweza madereva wa daladala muwagonge na magari na ikiwezekana muwaue kwani ndio chanzo cha umasikini kwa watanzania na mwema ikibidi naye akamatwe kwa kushindwa kudhibiti rushwa ya jeshi lake

jumatatu kazi kubwa itakuwa kutafuta picha zao na namba zao na kupeleka kwa waziri wa mambo ya ndani kwani mwema ndiye anayewatuma kufanya uovu wote

mwema yeye anawatuma polisi wachukue pesa na kiburi chake ni kwakuwa ameoa mdogo wa rais(shemeji)

hapo penye blue....sidhani ndugu yangu kama una nia njema na watanzania wenzio...........huko kwenye red....mmmmh.......I smell sumthin
 
Back
Top Bottom