Kazi nzito na nyepesi aliyonayo Tundu Lissu

Ndoto ndio kitu pekee kila MTU anaweza kuota hata akiwa katika mazingira yasiyoelezeka katika hali ya kawaida....

Tanzania ndio nchi pekee ambayo wananchi wake hawajawahi kujua wanahitaji kiongozi Wa aina gani na hivyo kuwapa fursa wajasiriamali Wa kisiasa kufanya lolote kwani nyuma kuna wafuata upepo na wafuasi wasioweza kujielewa mithili ya nyumbu wakihama kutoka Masai Mara kuelekea Serengeti...
Ni rahisi sana kumtawala mtanzania na kumwendesha kadri ya matakwa ya mtawala huyo kwani hisia na mihemko huongoza akili ya mwananchi kuliko uhalisia wa mambo anayoyahitaji.
Tuendelee kucheza ngoma za wanasiasa mpaka tutakapojaaliwa kujitambua.
 
Nachoamini ni kwamba kizazi cha 1992 kikifikia idadi ya watu milioni 4 Kitakitoa CCM MADARAKANI, wala sio kwa kuambiwa ,kushawishiwa na watu bali wenyewe wataamua huenda ni miaka 40 ijayo ila CCM ITAPOTEA NA ITAKUFA ...KIZAZI CHA SASA CHA CCM KILE KIZURI KINAPOTEZA LADHA ,chuki ,hasira ,uhasama umezidi,,,nini kitasababisha CCM ichukiwe, jibu ni moha tu ,ni ukosefu wa ajira ...
 
Hivi mtu anawezaje kukaa na kuorodhesha pumba nyingi hivi? 😂😂😂😂

Huko YouTube mbona wa Tanzania wanamchukia hivyo kama kifo, zee la kukameroon 😂😂😂😂
 
Nachoamini ni kwamba kizazi cha 1992 kikifikia idadi ya watu milioni 4 Kitakitoa CCM MADARAKANI, wala sio kwa kuambiwa ,kushawishiwa na watu bali wenyewe wataamua huenda ni miaka 40 ijayo ila CCM ITAPOTEA NA ITAKUFA ...KIZAZI CHA SASA CHA CCM KILE KIZURI KINAPOTEZA LADHA ,chuki ,hasira ,uhasama umezidi,,,nini kitasababisha CCM ichukiwe, jibu ni moha tu ,ni ukosefu wa ajira ...
😂😂😂 Una maanisha wakina RC Hapi? JPM kawazidi kete, kajaza vijana kila kona na kuifanya CCM iwe na mvuto kwa vijana
 
Taperi wa kodi za wananchi hana lolote aende kutaperi Acacia na Barrick
 
Lisu niJoshua aliyewavusha wana waisraeli kufika nchi ya ahadi,anaweza kuwa na mapungufu yake ya kibinadamu maana sio malaika lakini ana uwezo mkubwa kuongoza nchi hii kuliko huyu anauependa sifa tu,anayeshindwa kutofautisha kati ya serikali na yeye kama yeye,anatumia pesa za walipa kodi kujitakia umaarufu Wa kishamba
 
Naunga mkono hoja, huyu TL atatuungasha na kuturudisha katika umoja na uzalendo tofauti na huyu wa sasa anaetugawa na kutueneza chuki ndani ya mioyo yetu. Jambo la kupendelea chama chake kifanye mikutano na kunyima wenzake ni chuki kubwa anayosambaza magu upande wa pili na ndiyo maana hata ndege ikishikwa watu wanashngilia .

Magu hatufai 2020.
 
...natamka haya chini.
.....Lissu anafaa kuwa mwanasheria na mwanaharakati kama alivyo sio kuwa rais wa watu

anyway-ni maoni yangu
Kama ambavyo jiwe alifaa kuwa kiranja wa miundombinu na siyo rais wa nchi.
 
Wengine wanasema ni ngumu sana kuivurusha CCM madarakani kwa sanduku la kura bila kujali itasimamisha mawe au watu ili yapigiwe kura....

Lakini ukweli mchungu kwa wenzetu hawa wanaosimama ktk imani hii ni kuwa, KILA KITU KINA NYAKATI NA MAJIRA yake bila kujali ni kitamu ama kichungu; kinapendeza au kuchukiza kiasi gani....

MAJIRA na NYAKATI zikifika huondoka na hufa na watu hushangaa na kujiuliza limewezekanaje hili....!!???

Nani alikuwa anajua kuwa Robert Mugabe angekufa juzi?

Nani alijua kuwa huyu anayeabudiwa na baadhi yetu kama "BABA WA TAIFA" hayati Mwl Julius K. Nyerere angekufa na kuoza ardhini?

Hivi kwa waliokuwepo enzi zile za KANU ya Kenya chini ya mtu aliyetukuzwa kwelikweli na baadhi ya Wakenya hata kupachikwa kitangulizi cha "MTUKUFU" kabla ya jina lake, Rais Daniel Arap Moi.....

Nani alijua hata kuweza kutabiri tu kuwa, kufumba na kufumbua angetoweka yeye, chama chake na watu wake wa kikundi cha sifa kama mvuke wa moto?

Nakubaliana na wewe kabisa, kuwa, ni wakati wa Watanganyika wote kufikiri juu ya hatima ya uongozi wa Taifa letu nje ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) na wafuasi wake.....

Kwangu mimi haijalishi itakuwa CHADEMA na Tundu Lissu, Mbowe, Sumaye ama Nyalandu ama yeyote ndani humor; Ama ACT - Wazalendo na Zito Kabwe ama Bernard Membe ama mwingine yeyote ndani mwao humo.....lakini isiwe CCM na chapa yake, baasi inatosha sana.....

For sure, John Pombe Magufuli na CCM yake iwe mwisho 2020. Miaka 66 toka enzi ikiitwa TANU mwaka 1954 hadi ilipojibadilisha na kuitwa CCM mwaka 1977 inatosha....

Wamefanya waliyoweza kufanya, wameshindwa waliyoshindwa......

Kwa ufupi sana ni kuwa, mbwa huyu ni mzee sana. Hawezi kutuletea mawindo tena ili tuendelee kula kitoweo.....

Ana umri wa zaidi ya umri wa kustaafu binadamu kazini wa miaka 60, inatosha na wote tuseme inatoshaaaaa...!!
Well said
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom