Kazi nzito na nyepesi aliyonayo Tundu Lissu

M

mkukuta79

Member
Joined
Apr 1, 2019
Messages
54
Points
125
M

mkukuta79

Member
Joined Apr 1, 2019
54 125
Binafsi naongea kila siku na narudia tena leo:; maadam tu Mungu amenusuru u mauti wa huyu mh TL amini nawaeleza anakwenda kuwa mtu muhimu sana ktk nchi hii muda wowote na Dunia itasimama na nawahakikishia siku yaja watesi wafanye wawezavyo kamwe hawawezi kukinzana na nguvu ya Mwenyezi maana ndie alieamua TL apone atimize unabii wake.. Anaebisha na abishe ila note my word na uzi huu utunzwe kama marejereo muhimu
 
A

Angelica Best

Member
Joined
Aug 13, 2019
Messages
18
Points
45
A

Angelica Best

Member
Joined Aug 13, 2019
18 45
Mola asikie sala za watanzania wenye kujali haki, utu, amani na upendo kwa wote siyo kwa ccm tu!
 
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,092
Points
2,000
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,092 2,000
Ushauri wangu wa Kipekee tu Kwake ni kwamba aachane rasmi na Masuala ya Siasa na ajikite katika mambo mengine hasa ya Kitaaluma au Kisheria zaidi. Halafu kama ataweza aombe tu Kazi huko huko aliko ila sishauri arejee Tanzania kwa sasa labda arudi mwaka 2025 November baada ya Uchaguzi Mkuu Kumalizika.
 
Mpinzire

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Messages
1,876
Points
2,000
Mpinzire

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2013
1,876 2,000
Sijui lakini sijakiona hicho mnacho kishadadia kwa Lissu eti awe Rais wa Tanzania, kama itatokea CCM ikamsimamisha Membe 2020, Chadema Lissu na ACT ikamsimamisha Zitto basi nitafupa macho kwa shingo upande nitampa tu Zitto Kabwe lakini sio ao wawili japo kwa 1000% naamini hakuna mwenye sifa za kumfikia ata nusu Mh Rais Magufuli.
 
I

Ikulumaliyawananch

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2018
Messages
208
Points
500
I

Ikulumaliyawananch

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2018
208 500
KAZI NZITO NA NYEPESI ALIYONAYO ANTIPHAS;

Huyu Jamaa anaweza kuwa na mzigo mzito sana ama mwepesi kuwafuta WATANZANIA machozi, na kuijenga TANZANIA mpya baada ya kuwaongoza kupata uhuru kwa Awamu ya pili.

Awamu hii ya pili ikiwa ni uhuru kutoka kwa kikundi cha watu waafrika wenzetu (The so called Elite) wanaojiaminisha na kujihakikishia wanabaki madarakani milele iwe hata kwa goli la mkono japo wamechokwa na wameshindwa kazi ya kuleta matunda ya Uhuru kwa kila mtanzania.

ugumu unakuja vipi..

ugumu unakuja pale ambapo kila mtanzania ambaye anataka mabadiliko ameelekeza masikio na matumaini yake kwa huyu bwana (Masiah/Mkombozi). Wote wakiamini kuwa atakuwa MTATUZI wa matatizo yao , iwe kisheria katika haki na uhuru wa kujieleza, kiuchumi na hata kielimu, Elimu ambayo haina mashiko ,imepitwa na wakati.

Urahisi uko wapi..

Matumaini na matarajio haya MAKUBWA yaweza kuonekana ni mambo yanayompa MZIGO MZITO mtu mmoja, lakini kiukweli inaweza kuwa rahisi kwake kwani ana sifa sifutazo;

1.Ni mtu anayeifahamu vyema historia sio tu ya Tanzania bali hata huko kwingineko duniani.

2.Anayajua vyema matukio na mambo mengi mbalimbali YALIYOPITA kwa kina na kwa mifano hai kitu kinachomjengea wezo mkubwa wa kutabiri YAJAYO.

3. Anayafahamu vyema matatizo ya Taifa hili kama vile sababu za kutonufaishwa na mali asili na rasilimali zetu, mikataba ya kilaghai, kero za muungano ambazo zimekuwa zikifunikwa na suluhu zake, sababu za kufeli kwa sera mbalimbali kama sera za kupambana na wahujumu uchumi kipindi cha Sokoine.

Anayafahamu maatizo hivyo hatapata taabu aanzie wapi. Kufahamu chanzo cha tatizo ni mwanzo mzuri wa kulitatua.

Hii ni tofauti kabisa na wengine ambao wamekuwa wakionesha nia ya kutaka kutuongoza kutatua matatizo ili hali mpaka leo hii wanauliza hawajui ni kwanini sisi ni masikini, hawajui fedha zinaibwaje ingawa wamehudumu ndani ya serikali hii kwa miongo kadhaa tena ndani ya baraza la maamuzi. Unaomba vipi kazi usiyoifahamu kwa undani? Sidhani kama huu ni wakati wa kujaribu wakati Taifa linahitaji matibabu liko mahututi?

4. Anauchukia na ana hofu ya UTAWALA wa MABAVU usiofuata sharia kwani anajua madhara yake, amekuwa akisisitiza utawala wa sharia, uhuru wa maoni, malumbano ya hoja . Amekuwa akitoa na kulaani kwa mifano mingi ya tawala zisizojali utu na njia bora za kutatua matatizo ya jamii kama akina Stalin, Hitler pamoja na oparesheni za akina Edward sokoine japo zlikuwa na nia njema.

5. Sio mnafiki, ni msemakweli na anao ujasiri wa kumkosoa, kumpinga ama kumsahihisha mtu waziwazi na bado akawa anamhusudu.

Amekuwa akikosoa waziwazi baadhi ya viongozi wanaosifika na kukumbukwa Mfano Mwalimu Nyerere ,Sokoine, Kikwete n.k. Hii ni ishara ya kiongozi mwenye uthubutu na muwazi pale unapokosea bila kubaki na chuki moyoni.

6. Ni mbobezi wa sharia na mtetezi wa haki , usawa kwa makundi yote iwe waliokuwa na vyama ama wasiokuwa navyo.
Ni wazi kuwa taifa baada ya uhuru linahitaji kuwa na mazingira yanayomfanya mwananchi ajione huru na mwenye haki juu ya rasilimali za nchi yake tofauti na iliyozoeleka sasa ambapo huwezi kuwa hata kiongozi wa ofisi ya umma pasipojuwa mshabiki wa chama kilichopo madarakani.

Taifa ni pana, lisiishie tu kwenye uchadema na uccm. wapo wasiopenda kujiunga na vyama

7. Amekuwa ni kiunganishi cha makundi mbalimbali licha ya tofauti za kiimani, kitamaduni, kiitikadi hata mbinu. Mfano amekuwa mtetezi wa wazanzibari wakiwemo masheikh wa uhamsho , amekuwa akiwaheshimu pia walioko chama tofauti nay eye akiwaita kwa majina kaka yangu, dada yangu ama ndugu yangu. Hiyo ni ishara ya kuwa ni kama kielelzo na kiunganishi cha UDUGU uliokwisha kuanza kupotezwa na chuki.

8. Sio kigeugeu, misimamo yake dhidi ya haki na usawa haibadiliki tangu akiwa shule hata alipoianza kazi yake rasmi miaka kibao iliyopita licha ya kubatizwa majina mbalimbali kama vile MCHOCHEZI.tangu miaka ya 90 anafahamika kama mtetezi wa wanyonge akiwaigania mamia ya wanakijiji dhidi ya wawekezaji waonevu walikaribishwa na viongozi walafi waliokuwa madarakani.

9. kutokana na kuwa shupavu katika kuusimamia ukweli , hivyo ni mtu ambaye hafungwi na nidhamu ya unafiki wa kumuonea haya usoni yeyote iwe ni mtu mkubwa kiasi gani. Hana deni la kulipa fadhila hivyo ni rahisi kwake kushuhulika na masuala yote ya ufisadi bila kubagua chambo na kuwaacha wakubwa.

MWISHO:

Pamoja na sifa hizi na nyingine nyingi alizonazo, tunamwombea na tunamsihi awe na MSAMAHA ,kwa yeyote anaeyesoma alama za nyakati anakubaliana nami kuwa huu ni wakati wa kujenga upya Taifa .

Na Taifa haliwezi kujengwa kwa kuendeleza gurudumu la VISASI bali kwa waliojiona wana haki sana kujishusha na kutubu walipokosea na wale walioonewa kusamehe kisha kuketi meza moja kujenga upya na kutibu majeraha ya TAIFA TANZANIA na AFRIKA kwa ujumla

View attachment 1204439
mzalendo number moja mteule wa Mungu
 
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Messages
5,984
Points
2,000
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2015
5,984 2,000

Ee Mungu wa Ibrahim na Yakob utufanyie Huyu kijana Tund u Lussu Mpakwa mafuta wako, ikupedeze akawe Rais Wetu ktk taifa hili 2020.

Twakuomba kwa sifa na utukufu wako.
 
K

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2018
Messages
3,336
Points
2,000
K

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2018
3,336 2,000
Lissu anayo kazi moja tu ngumu kwa sasa hivi, baada ya kuikamilisha hiyo, hayo mengine yatafuata.

Kazi ngumu ni "kurejea nyumbani".

Nyote hapa mnaopiga picha za 'uraisi wa Lissu hapa JF, inawabidi muweke vichwa vyenu pamoja kuhakikisha kuwa Lissu atarudi hapa kama mtu huru, na bila ya kunyanyaswa na mtu yeyote awaye. Hili ndilo mnalotakiwa kuumiza vichwa vyenu juu yake kwa wakati huu, na sio juu ya 'urais' wake.

Mnatakiwa kumpa ulinzi imara kama kiongozi wenu. Hii ni kazi yenu. Wekeni wazi, kama wabaya wa Lissu wasivyoona ugumu wa kutangaza mipango yao, kwamba "ubaya utalipwa kwa ubaya"; hakuna mwenye hati miliki ya kuwafanyia watu wengine ubaya kwa kuwa yeye kawekwa na kukabidhiwa madaraka ya kuongoza nchi. Hili sasa inabidi lieleweke wazi, katika mambo yanayofanywa nje ya sheria, hata iwe anayefanya hivyo yupo serikalini, yeye pia anastahili kupewa haki yake nje ya sheria.

Mtakuwa na kazi ngumu sana ya kumlinda Ndugu Lissu, lakini kama kweli nia ipo, basi njia itakuwepo tu.
Uoga umetanda nchi nzima sasa, hili inabidi kuliondoa haraka. Uoga ndio unaozidisha kiburi cha wanaotaka watu wawe waoga ili watawaliwe kirahisi.
 
K

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2018
Messages
3,336
Points
2,000
K

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2018
3,336 2,000
Ushauri wangu wa Kipekee tu Kwake ni kwamba aachane rasmi na Masuala ya Siasa na ajikite katika mambo mengine hasa ya Kitaaluma au Kisheria zaidi. Halafu kama ataweza aombe tu Kazi huko huko aliko ila sishauri arejee Tanzania kwa sasa labda arudi mwaka 2025 November baada ya Uchaguzi Mkuu Kumalizika.
Kwa kuwa huu ni ushauri, basi na ubaki kuwa hivyo hivyo, kuwa ushauri tu; tena ushauri wa hovyo kabisa!
 
Forum statistics

Threads 1,334,886
Members 512,157
Posts 32,489,884
Top