Wana JF , ninaomba yeyote aliye na hili tangazo liliwekwa kwenye gazeti la mwananchi 20/07/2010. Mimi ninazo sifa za kuomba hizo nafasi za ukurugenzi wa kituo ila sijaona tangazo. Naomba uniwekee hapa jamvini kwa mwenye nalo niombe hiyo kazi nirudi huko nyumbani huku ulaya ni baridi sana na kazi zisizo na Tija.
Thanks wana JF wa nyumbani.
Thanks wana JF wa nyumbani.