Kazi niliyotumwa nimeimaliza

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,333
Wale vibaraka waliotumwa na sisiemu kuja kuchafua hali ya hewa hapa JF muda wao wa kazi umeisha na sasa wanarudi rasmi kwenye shughuli zao nyingine.
Ninaamini JF itarudui kwenye status yake ya miaka yote.
Malaria Sugu na kundi lako kwaherini, pia pole sana kwa kupoteza majimbo na kata nyingi.
TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA
 
Ni kweli, kwani nyumba ilivamiwa.

Status quo sasa itabaki kama ilivyokuwa
 
Wale vibaraka waliotumwa na sisiemu kuja kuchafua hali ya hewa hapa JF muda wao wa kazi umeisha na sasa wanarudi rasmi kwenye shughuli zao nyingine.
Ninaamini JF itarudui kwenye status yake ya miaka yote.
Malaria Sugu na kundi lako kwaherini, pia pole sana kwa kupoteza majimbo na kata nyingi.
TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA

Very Right
 
Thans Bujibuji

They have failed miserably and now they want us to kill each other, na wao wana multiple entry visa ya kuelekea laundry (UK and US).... tunasema hivi.... TANZANIA BILA CCM, INAWEZEKANA
 
Kweli kabisa inawezekana .. Sasa ni strategy pevu. At least kila mwaka operation sangara moja mpaka 2015.
 
Baada ya matokeo, watu wemgi watapata ugonjwa wa sononi au unyogovu (melancholy).
 
"Kama roho inauma usipongeze" hii kutoka katika daladala ikiashiria unafiki sio mahala pake baada ya matokeo
 
Bado majimbo saba TUME ya CCM iliweka kwapani. HAKUNA Kulala. LKN Pro CCM, nafikri bado wapo Zubeda, simsikii Mtu wa pwani
 
Hongera chandema kwa kazi yetu angalau ya kupata majimbo 25 tu na kafu 25 mungu awabariki na walobaki 10 jumla 60 kati ya 239 ambayo ni asilimia 25. Kazi kwenu naomba msiongopee wananchi fanyeni kazi ili 2015 mjiongezee wawakilishi mjengoni vinginevyo msije mkawa kama enisisiara mageuzi ilivyoingia kwa nguvu za soda na baadaye wakaishia kubaya. Naona nao wamezinduka wamerudi japo kwa idadi ndogo. Kaza buti kazi ni ngumu
 
tutashirikiana nao katika kudai katiba mpya lazima kieleweke, Nguvu ya wananchi VS FISADI
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom