Kipindi nilikua msomaji tu JF kabla sijajiunga nilikua napenda Sana story za mshana Jr nikua nasoma kwa hisia Sana nyingi ni zakuhuzunisha nyingine ni zakutisha. Halafu kulikua na mtu mmoja alikua ana jiita mngoa kucha jama alini chesha na ule ujumbe wa wakili pale kinondoni. Heshima kwenu mshana mungu akupe afya njema Kaka mkubwa.
Haki kweli. Ndo maana me nimesema anaendq fanya PhotoshopInaweza kukuta mshana ndio stamina hapo wana ngoma wananenda kushoot na Roma
Duh! Kazi gani hyo unaenda kufanya?Tuombeane sana... Sometimes you have to sacrifice a soul to save many lives.... View attachment 1226205
Bilashaka,ashafanya,aliaga jana,hii dunia inayo mengi.Duh! Kazi gani hyo unaenda kufanya?