Kazi ni kwako ya vodacom kumbe ndo mlikua mnamaanisha hivi kwa watumiaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi ni kwako ya vodacom kumbe ndo mlikua mnamaanisha hivi kwa watumiaji?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by satellite, Mar 20, 2012.

 1. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wana JF mtu akikwambia kazi ni kwako maaana yake huko mbeleni unakazi ya ziada kuweza kuvuka kikwazo(utajiju huko mbeleni kwa lugha ya mitaaani)sasa vodacom wanaamaana gani kwa sisi watumiaji kutuambia kazi ni kwako?au mtandao wao unavyozingua ndo kazi ni kwetu?ukipewa huduma mbovu kazi ni kwako,vocha zikigoma kuingia kazi ni kwako mtumiaji,ukikosea m-pesa ikaenda kwa mwingine kazi ni kwako mtumiaji?endeleza.............
   
 2. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Jst mtazamo
   
 3. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Kazi ni kwako
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  msg zikigoma kwenda au kuingia utajiju....hata kama ni ujumbe wa muhimu au dharura....kazi ni kwako....
   
 5. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,990
  Trophy Points: 280
  ukibambikiwa wimbo wa afande Sele-'karata dume' uwe caller tune kwa wanaokupigia bila ridhaa yako KAZI KWAKO!

  Mama mkwe hanielewi jamani kwasababu ya ma-ubongo fleva yenu!
   
 6. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,200
  Likes Received: 941
  Trophy Points: 280
  Ukituma msg ikakaa hewani masaa kadhaa, kisha ukarudishiwa msg sent failled huku hela imekatwa...kazi ni kwako!
   
 7. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,119
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  upo huru kufanya acrobatic uwezavyo.
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hama mtandao....kwani unalazimishwa kubaki Vodacom?
  Chaguo ni lako....kama vipi karibu tiGO
   
 9. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Tigo ndio hawafai kabisaaa, hata usithubutu baki huko huko kwenye kazi ni kwako..
   
 10. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Wewe ushawahi kutumia tiGO?
   
 11. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nasubiria jibu...niko hapa nyuma!
   
 12. S

  Skype JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Kazi kwako mtanzania popote ulipo.
   
 13. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Ndio mtandao ninaoutumia ila jana wameniboa to the limit, kama upo Arusha utakua unajua jana mida ya asubuhi mpaka mida fulani ya saa sita walizingua nini.
   
 14. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Mh!! ..........
  MP.
   
 15. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa mwambie akujibu faster
   
 16. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Yah ila haikuwa kivileeee....voda siwakubali hata kidogo na km mtu akitokea akanishawishi kuhama mtandao ntampa pongezi sana
   
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Aiseee kijana acha kashfa....Lol
  Sikujua km vijana mmeshaileta topic kushoto....
  Hahahaaa
   
 18. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Tehtehteh.........nilikua napita tu mkuu. kwema lakini?
  MP.
   
 19. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Unapiga simu customer care wanakuweka hewani nusu saa kazi ni kwako mteja
   
 20. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Chief unafanya kazi tigo nini, anywei,actualy mtandao yote cku hizi inazengua ila tigo is topping the chart.
   
Loading...