kazi ngumu mjini


K

kazi njema

Member
Joined
Dec 11, 2013
Messages
87
Likes
23
Points
15
K

kazi njema

Member
Joined Dec 11, 2013
87 23 15
huwa nafikilia nikifukuzwa kazi sehem nilipo ntapata wap pengine mpaka ni zoeleke wa wafanya kazi wenzangu daaah..... maisha haya jaman...............
 
muuza ubuyu

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
2,752
Likes
874
Points
280
muuza ubuyu

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
2,752 874 280
Ikitokea hayo unayoyawaza utajua tu namna utakavyotafuta, kupata na kuzoeleka katika kazi mpya. Ila usipende kuwaza waza kufukuzwa kazi, Piga kazi yako kwa juhudi na maarifa! Ubarikiwe sana!
 
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Messages
14,839
Likes
2,820
Points
280
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2011
14,839 2,820 280
Save kidogo upatacho ili ujiajiri badae.
 

Forum statistics

Threads 1,215,416
Members 463,197
Posts 28,547,391