Kazi....national health insurance fund (nhif)

Unahitaji kujaribu kuomba embu soma hizo vacancy mpaka mwisho then uone deadline. jamani yatakiwa usome mpaka mwisho wa tangazo ndo u comment.thats y tunajaza mikataba bila kusoma...Kweli wahitimu wa siku hizi hatuna utashi hakika .utulivu wa moyo ndio humfanya mtu afanye maamuzi sahihi pupa hukufanya ufanye vitu bila kufikili. deadline ni june sasa unataka kuomba kazi gani? change today for the betta tomoro.
 
Back
Top Bottom