Kazi na website ya kitapeli ya world concern.

Mangi wa Rombo

Senior Member
Sep 25, 2014
190
126
Habari!

Tafadhali mnaombwa kuwa makini na matapeli wanaotangaza kazi kupitia mtandao wa zoomtanzania.com wakidai wana vacancies kutoka world concern! Watakuambia utume maombi kwenda jobs@world-concern.org! Hawa ni matapeli wa kimataifa!
kwanza wametengeneza website inayofanana na website ya world concern ya ukweli! Scams wanatumia world-concerns.org while the real website ya world Concerns read www.worldconcern.org (Please note the added - in between the word "world" and "concern")

Ukiomba kazi hata kama hauna sifa (Try to apply for Medical while Your CV shows your Logistian) utakuwa shortlisted, they never read the CV!

Kisha watakuambia kuna form unahitaji kujaza na kuwa qualified! They will give you another fake addres of website claiming to be their partner for candidates certification! This new institute will ask you for some money in order to do what they call candidate certification! If you pay, you will never hear from them! Never! And I mean, Nevaaaaaaaa!

Dont pay at any stage of job application, the real Employer doesnt ask for a single coin from the candidate!

Wametangaza tena Leo tar 16/03/2017 nafasi zao feki kwenye mtandao wa zoomtanzania.com
Kazi za world concerns zinapatika kwenye website yao kweli tu! na hauna haja ya kuitafuta, just google "world concern official website" na utaiona! Its worldconcern.org without the "-" in between!

Tafadhali share na uwatadhalishe wenzako wasiwe wahanga wa wezi hawa wasio na huruma!

Cheers!
 
Matapeli wasidhani watu hawana akili. Utamdanganya nani sasa hivi. Naona kilichobaki wajitapeli wenyewe kwa wenyewe
 
Back
Top Bottom