Kazi na majina: kwanini wezi hawapendi kuitwa majina ya kazi zao

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
3,420
3,391
Hivi kwanini mwizi apendi kuitwa jina la kazi yake, tunaona watu hufurahia kuitwa kwa kutumia majina ya kazi yao, Dereva, mchungaji, mwalimu waziri,a Fundi, afande, konda, muuza duka, doctor, hakimu nk

Sasa wezi kwanini wasikubaliane tu kazi yao na kukubali tuwaite majina ya kazi zao, kukataa inaonyesha ni kwa kiasi gani wanajua ubaya wa kuiba Sema wanafanya makusudi.

Kwanini wasichukie kuiba kama wanavyochukia kuitwa kwa jina la cheo cha kazi yake, jamani tusiibe kwani crime does not pay and you will gonna die one day, and when you will day mean you will never comeback again, ndo ntoleee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom