Habari wana jf, naomba kufahamu wanapotangaza mshahara ni tgs 8 huwa unakuwa ni kiasi gani. Ningependa kujua kiasi ili niweze kucompare na kiasi ninachokipata kwa sasa ....wasiwasi wangu isije ikawa ni ndogo compared to what am getting.
Asanteni
Nijuavyo mimi hakuna kitu TGS 8. Scale za mishahara kwa tanzania zipo 3
1. TANZANIA GOVERNMENT OPERATIONAL SCALE - TGSO
2. TANZANIA GOVERNMENT GENERAL SCALE - TGS
3. TANZANIA TEACHERS SCALE - TGTS
Scale zote zinatumia alpahabet siyo tarakimu na zinaanza na A na kuendelea. Baada ya alphabeti ndo hufuata tarakimu ambazo huonesha increment kwa kila scale. Mfano Mtumishi anayeajiriwa mwenye degree ya miaka 3 huanza na TGS D.1. Ataendelea kuongezwa mfano TGS D.2, TGS D.3,.......na akifika TGS D.12 anagota na inabidi ahamie TGS E.
Hope nimekuridhisha kidogo
Maelezo yako ni sahihi katika ufafanuzi lakini si kweli kwamba scale za Mishahara TZ ni tatu tu, kuna kada ya afya TGHOS na TGHS, kuna kada ya Mahakama wao wanatumia TJS with numbers yaan TJS1, TJS2, N.K na icrements zinasoma with decimals like TJS1.1, TJS 1.2 N.K. Pia kuna kada ya watumishi wa ofisi ya mwanasheria Mkuu ambao wanatumia AGCS with numbers na zinaanzia 4 i.e AGCS4.
Kwa kufuata maelezo ya aliyeanzisha thread, ni kweli alichoandika hakipo ila yawezekana alimaanisha TJS8, kama hvyo ndivyo basi mshahara wake ni 3,340,000 FIXED.
Kuhamia E sio lazima ufike D.12 Mkuu mbona miaka mingi sana! Ukifika D.3 hadi D.5 unatakiwa kupndishwa cheo kwenda E. Kama hakuna tatizo lolote mtumishi hawezi kukaa kwenye cheo kioja mpaka miaka 12 labda awe amefika kwenye bar mfano mwenye H akifika 12 ndio mwishoNijuavyo mimi hakuna kitu TGS 8. Scale za mishahara kwa tanzania zipo 3
1. TANZANIA GOVERNMENT OPERATIONAL SCALE - TGSO
2. TANZANIA GOVERNMENT GENERAL SCALE - TGS
3. TANZANIA TEACHERS SCALE - TGTS
Scale zote zinatumia alpahabet siyo tarakimu na zinaanza na A na kuendelea. Baada ya alphabeti ndo hufuata tarakimu ambazo huonesha increment kwa kila scale. Mfano Mtumishi anayeajiriwa mwenye degree ya miaka 3 huanza na TGS D.1. Ataendelea kuongezwa mfano TGS D.2, TGS D.3,.......na akifika TGS D.12 anagota na inabidi ahamie TGS E.
Hope nimekuridhisha kidogo
Nijuavyo mimi hakuna kitu TGS 8. Scale za mishahara kwa tanzania zipo 3
1. TANZANIA GOVERNMENT OPERATIONAL SCALE - TGSO
2. TANZANIA GOVERNMENT GENERAL SCALE - TGS
3. TANZANIA TEACHERS SCALE - TGTS
Scale zote zinatumia alpahabet siyo tarakimu na zinaanza na A na kuendelea. Baada ya alphabeti ndo hufuata tarakimu ambazo huonesha increment kwa kila scale. Mfano Mtumishi anayeajiriwa mwenye degree ya miaka 3 huanza na TGS D.1. Ataendelea kuongezwa mfano TGS D.2, TGS D.3,.......na akifika TGS D.12 anagota na inabidi ahamie TGS E.
Hope nimekuridhisha kidogo
Hakuna TGS 8 zimeshapitwa wakati,hiyo itakuwa labda ni TGS E
Umeonaee! Huwa nashangaa sana na mara nyingi wanaweka hizo scales bila ufafanuzi zaidi.Ivi kweli scale za tz ni siri kiasi hichi, mpaka leo hatuna majibu??
Ivi kweli scale za tz ni siri kiasi hichi, mpaka leo hatuna majibu??
aiseeeeeee mambo ya serikali nina allergy nayo.. but thanks kwa shule