Kazi mpya toka Tanesco, deadline 26 June 2017

The Underboss

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,582
2,000
Sorry mkuu naomba source ya kazihizo,maana zimenichanganya nimeperuzi tovuti ya TANESCO sijazipata zipo za deadline ya trh 8/6. Kweli ni post mpya na hazifanani sijajua iweje wasiziweke kwenye tovuti yao.
Asaante!
Mkuu omba kazi acha mashaka yasiyo na msingi, sioni msingi wa mashaka yako.

Kama huziamini basi ziache mkuu. Nimekuweka na anuani za unapotakiwa kuomba, sijasena uombe kwangu, sasa mashaka yako ni nini?

Hata zinazoexpire 13 juni hujaziona?
 
CaptainDunga

JF-Expert Member
Jul 17, 2009
1,561
2,000
Mkuu omba kazi acha mashaka yasiyo na msingi, sioni msingi wa mashaka yako.

Kama huziamini basi ziache mkuu. Nimekuweka na anuani za unapotakiwa kuomba, sijasena uombe kwangu, sasa mashaka yako ni nini?

Hata zinazoexpire 13 juni hujaziona?
Kama hutojali na kama unazo hizo zinazo expire tarehe 13 naomba pls.
 
Bukijo

JF-Expert Member
Jul 28, 2010
208
225
Mkuu omba kazi acha mashaka yasiyo na msingi, sioni msingi wa mashaka yako.

Kama huziamini basi ziache mkuu. Nimekuweka na anuani za unapotakiwa kuomba, sijasena uombe kwangu, sasa mashaka yako ni nini?

Hata zinazoexpire 13 juni hujaziona?
Shukrani mkuu,msaada wa hizo zinazoexpire 13 maana daa information is power baadhi taarifa hatuzipati kwa wakati haziwekwi haadharani mapema!
 
PSPA Pure'12 udsm

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
800
500
Uzalendo na utumishi uliokuwepo humu JF umeondoka. Zamani kama tangazo halisupport devices za baadhi ya watu humu, kuna GT walijitolea kubadikisha au kucopy ili kila mmoja wetu anufaike.

Naona ile dhana imeondoka, haipo tena....ama kweli tupo kwenye ubepari.
 
kalagabaho

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,419
2,000
Mkuu omba kazi acha mashaka yasiyo na msingi, sioni msingi wa mashaka yako.

Kama huziamini basi ziache mkuu. Nimekuweka na anuani za unapotakiwa kuomba, sijasena uombe kwangu, sasa mashaka yako ni nini?

Hata zinazoexpire 13 juni hujaziona?

Mashaka yake yana msingi ..kama hajaona tangazo kwenye tovuti yao vipi akuamini wewe? Kwenye ulimwengu huu wa mitandao ya kijamii huwezi kuamini kila kitu unachosoma..otherwise uthibitishe hapa kama wewe ni mtendaji mkuu wa TANESCO
 
MESHACK WARIOBA

JF-Expert Member
Mar 29, 2017
877
1,000
Mashaka yake yana msingi ..kama hajaona tangazo kwenye tovuti yao vipi akuamini wewe? Kwenye ulimwengu huu wa mitandao ya kijamii huwezi kuamini kila kitu unachosoma..otherwise uthibitishe hapa kama wewe ni mtendaji mkuu wa TANESCO
Msiwe mnakariri ndugu zangu, hapo ndipo mnapotea, sio mara zote Tanesco wanaweka kwenye tovuti yao, Mfano Matangazo yaliyopita yalikuja kuwekwa kwenye tovuti wiki moja baada ya kutoka kwenye Mwananchi. Mfano Kuna watu wamezoe hata kuitwa kwenye interview lazima waweke majina kwenye tovuti, kuna organization hawaweki, wanatuma message na kupiga simu tuu, sasa ukiwa unasubiri uone jina lako ndio utapotea, hivyo ni vyema kuwa flexible. Ama unaweza ukajiridhisha kupitia mitandao mingine ya ajira, mfano hili tangazo nimelipata humu kwanza hata kabla ya Kwenye tovuti, then baadae zoom nao wakaliweka ila hapa ndo lilikuwa la kwanza kuwekwa.
 
madukwappa

JF-Expert Member
May 7, 2014
1,886
1,500
Msiwe mnakariri ndugu zangu, hapo ndipo mnapotea, sio mara zote Tanesco wanaweka kwenye tovuti yao, Mfano Matangazo yaliyopita yalikuja kuwekwa kwenye tovuti wiki moja baada ya kutoka kwenye Mwananchi.

samahani mkuu ili tangazo nimelitafuta mpaka nimekoma
 
Bukijo

JF-Expert Member
Jul 28, 2010
208
225
Tu
Msiwe mnakariri ndugu zangu, hapo ndipo mnapotea, sio mara zote Tanesco wanaweka kwenye tovuti yao, Mfano Matangazo yaliyopita yalikuja kuwekwa kwenye tovuti wiki moja baada ya kutoka kwenye Mwananchi. Mfano Kuna watu wamezoe hata kuitwa kwenye interview lazima waweke majina kwenye tovuti, kuna organization hawaweki, wanatuma message na kupiga simu tuu, sasa ukiwa unasubiri uone jina lako ndio utapotea, hivyo ni vyema kuwa flexible. Ama unaweza ukajiridhisha kupitia mitandao mingine ya ajira, mfano hili tangazo nimelipata humu kwanza hata kabla ya Kwenye tovuti, then baadae zoom nao wakaliweka ila hapa ndo lilikuwa la kwanza kuwekwa.
Tumeshaaply usisite kutupatia updates za shortlisted maana kwa mfumo huu unawezaitwa usipate taarifa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom