Mbesigwe
Member
- Sep 27, 2016
- 51
- 54
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeiomba pia, yawezekana kuna upembuzi yakinifu ngoja tusubiri.Hii kazi nimeiomba jaman, mpo kimya au tayari mmeshaita watu?
Ndio nini? Ulichobandika hapo
Kwani ina tatizo mkuu?Huu upuuzi mwingine, na nyie mnatuma CV zenu hovyo hovyo shauri yenu,,
Kwa upande wangu nimeamini na nimetuma kwa sasabu alietoa bandiko namfahamu pia kupitia profile yake ya linkedin so sijaona kama kuna upuuzi hapo ndio maana nimetuma.Huu upuuzi mwingine, na nyie mnatuma CV zenu hovyo hovyo shauri yenu,,