Kazi Morogoro

Mbesigwe

Member
Sep 27, 2016
51
54

Attachments

  • IMG_20191010_103354.jpeg
    IMG_20191010_103354.jpeg
    68.8 KB · Views: 6
Huu ni ubaguzi kama ule wa Nyerere wa watu wafupi kutoruhusiwa kuingia Jeshi kumbe alikuwa anataka nduguze wakurya kutoka Musoma wajae kwenye ajira za Jeshi
Tunahitaji wakazi wa morogoro.. ambao ni wazoefu wa mitaa ya huku
 
Tangazo hata halieleweki ,, deadline ni lini?, na jina la hako katasisi ni lipi? ,,,

NB
Kama hupendi kutembea kwa miguu km nyingine hii kazi haifai
 
Back
Top Bottom