kanyagio
JF-Expert Member
- Dec 10, 2009
- 1,021
- 365
Carepoint Lodge, ni lodge mpya ya kisasa inayotegemea kuanza biashara mwezi September 2020 maeneo ya Madale, Dar es salaam. Lodge itakuwa na vyumba takribani 15 ikikamilika. Tunahitaji wafanyakazi wafuatao:
1)Mapokezi (Front Office staff,): uwe na uwezo wa kuhudumia vema wateja (customer care), mtazamo mkubwa na nia ya kujifunza mambo mapya. Uwezo wa kutumia social media na tovuti kutangaza huduma zetu. Angalau uwe umepitia mafunzo ya hotel management au customer care. Utakuwa na kazi ya kuhudumia wateja, kupokea fedha, kuweka kumbukumbu na kufanya uangalizi wa biashara.
2)Mhudumu wa Usafi- Awe na uzoefu wa kufanya usafi wa kina hasa ndani ya vyumba vya wageni na pia maeneo ya umma (Public Areas). Uzoefu na uwezo wa kuzungumza Kiswahili vizuri,utayari wa kufanya kazi asubuhi mapema na usiku. Uwe mwaminifu.
Tuma maombi na CV kwa email iliyo chini.
Manager,
Carepoint Lodge
dar.carepoint@yandex.com