Kazi kwenu wapambe wa Wema Sepetu.

kaka Eliah njoo umsaidie mwenzio huku, moto unamuwakia, lol!

Mwacheni ayaoge mwenyewe.
Eti ChitChat majobless!
Yeye mwenyewe analala Chumba kirefu,
Wa Mwisho kulala,
Wa kwanza kuamka,
afu anasema Fyokofyokofyoko,
Heheeee!!!
Mmenipandisha Mizukaaaa,tairetairetaire..!!!

We kilaza Njoo huku kama kweli sisi hatuna kazi,
Sura nzito kama Kwapa la Beberu.
 
Tulimtuma mwaJ Shost.
Ngoja nimpigie simu aje fasta.
Kuna Mwanaume ana hamu ya Kusutwa.

Ha ha haa haaaaaaaaaaaaa! Sijui nilikuwa wapi sijawasoma nyie wadada. Lol!
Jamani nani tena huyo kawakorofisha? Hata sijausoma huu uzi nimekuja moja kwa moja hapa kwenye wito. Eti snowhite, cacico na Madame B nielewesheni. Btw kina Gea wapo sana wanasubiri kupigiwa simu tu hao wanazuka na vifaa vyao vyote vya kazi.
 
Last edited by a moderator:
FP kasema tumsamehe atakuwa ameshika adabu yake huyu,tuendelee na hamsa zetu!au we unasemaje shosti wangu?!

Shosti nishike kwanza,
mana nina hamu ya kunyonya Macho ya mtu humu.

Anatuletea za Vichochoroni hapa,

eti Ohoo ChitChat wote vilaza hamuujui Mji.
Watu tumekuja mjini enzi hizo hata Kigamboni hakuna bahari.
Mfyuuuuuu!!
 
Ha ha haa haaaaaaaaaaaaa! Sijui nilikuwa wapi sijawasoma nyie wadada. Lol!
Jamani nani tena huyo kawakorofisha? Hata sijausoma huu uzi nimekuja moja kwa moja hapa kwenye wito. Eti snowhite, cacico na Madame B nielewesheni. Btw kina Gea wapo sana wanasubiri kupigiwa simu tu hao wanazuka na vifaa vyao vyote vya kazi.

Shoga umechelewa wapi jamani?
Yani leo ni Msuto wa Mwanaume.
Eti anatuambia Wana ChitChat vilaza.

Yani,yani,yani....
mwaJ, cacico, snowhite hebu nishikeni nisije kuua mtoto wa mtu humu.

Ita akina Gea tuamshe varangati kama la kule Tabata relini.
 
Last edited by a moderator:
Yaani shoga an'gu Arabela nakishangaa kimtu kimoja humu ndani.
Jana kajidai kuleta nyodo,leo vigimbi juu juu kuja kusapoti thread ya mwana Chitchat mwenzetu.

Babu wee ChitChat ni Kama Maji Usipoyanywa,Utayaoga, kiko wapi sasa,Karudia matapishi yake.

Heheheeeee!!!
Halooooo!!!
Ukiujua Huu, Wenzako tunaujue Ule,
Mbona umekuja,kakuita nani???

Nashanga, una simu,lakini Hupigiwi wala Hutumiwi Sms,
Kaogeeee....!!!!

Sura nzito kama unapiga chafya.

Tuachie babu we na ChitChat yetu.
Eti ohooo Madame B huujui mji,kasema nani?
Kwa taarifa yako,Nimezaliwa Muhimbili,na kitovu changu kimezikwa TuaTugawe.
Utajijua wewe uliyezaliwa Porini na kitovu kimeliwa na changarawe.

Halooooo!!!
Tupishe Sie,wapi mchele wa Kitumbo na matumbo ya Samaki.
HUTAKI,UNAACHA!!

Khaaaaaaa! Asante. Anayepewa ujumbe lazima alewe bila kunywa.
 
Shoga umechelewa wapi jamani?
Yani leo ni Msuto wa Mwanaume.
Eti anatuambia Wana ChitChat vilaza.

Yani,yani,yani....
mwaJ, cacico, snowhite hebu nishikeni nisije kuua mtoto wa mtu humu.

Ita akina Gea tuamshe varangati kama la kule Tabata relini.
tena mi hapa hasira imezidi kupanda manake naona kama anatuchezeya huyu!sasa mwaJ nawe si unajua idara yako kwenye wizara hii ya misuto na misutano ni ile idara ya habari na mawasiliano?eti boss Madame B mbona kama mwaJ hawajibiki kazini?
 
Last edited by a moderator:
Shoga umechelewa wapi jamani?
Yani leo ni Msuto wa Mwanaume.
Eti anatuambia Wana ChitChat vilaza.

Yani,yani,yani....
mwaJ, cacico, snowhite hebu nishikeni nisije kuua mtoto wa mtu humu.

Ita akina Gea tuamshe varangati kama la kule Tabata relini.

Kweli unahitaji kushikwa, maana hiyo keyboard karibia itameguka. Japo sijamuelewa vizuri huyo alosema wana chit chat ni vilaza nadhani yeye ndio poyoyo kabisaa. Inaelekea hajui umuhimu wa hili jukwaa kwa afya ya akili za binadamu.
 
Back
Top Bottom