Kazi kwenu..Binti wa Kibongo anatafuta mchumba

Pundit

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2007
Messages
3,740
Points
1,225

Pundit

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2007
3,740 1,225
Toba,

Sikujua CV inapima IQ !

Huyu ndiye aliyeenda shule mwenye wageni majununi, wenzangunamie kina Maimuna sijui watakuwaje.
 

Me370

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
991
Points
0

Me370

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
991 0

Killuminati

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2007
Messages
327
Points
195

Killuminati

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2007
327 195
Kwa wale mnaotaka kuiona picha yake nendeni kwenye hii site.

http://www.darhotwire.com/maisha/news/2008/01/23/balozi_wa_celtel_2003_aja_na_mpya.html

au

http://www.globalpublisherstz.com
Alafu kwenye tafuta andika manka mushi. Kuna picha kama 3 nzuri hivi alizopiga akionekana mwili mzima.Sasa waungwana niambieni mnamuonaje? Ni mzuri au vipi? Kwa macho haonekani kama engeneer.

..raia wema huyo si mwenyewe, hawa Manka wako wa kumwaga, huyu mbona yupo easy to street anatembea kule mwanza na hana elimu hata ya first degree, so usiwapoteze watu mtu wangu
 

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,295
Points
1,250

Masanilo

Platinum Member
Joined Oct 2, 2007
22,295 1,250

..raia wema huyo si mwenyewe, hawa Manka wako wa kumwaga, huyu mbona yupo easy to street anatembea kule mwanza na hana elimu hata ya first degree, so usiwapoteze watu mtu wangu
HAhahahaha bwana kama ni huyu wa kwenye picha ni loose kweli kweli, nenda Mwanza hotel pale utamkuta saa za jioni, ni kama Sungu sungu hana noma...
 

Magere

Member
Joined
Mar 12, 2008
Messages
12
Points
0

Magere

Member
Joined Mar 12, 2008
12 0

Magere

Member
Joined
Mar 12, 2008
Messages
12
Points
0

Magere

Member
Joined Mar 12, 2008
12 0
Joined
Mar 5, 2008
Messages
24
Points
0
Joined Mar 5, 2008
24 0
wakubwa data tunazo, huyu hafai kabisa wana.nenda kwenye michuzi blog upate ful mkanda.ameshatemwa sana na watu wenye akili.alikwenda macho juu kwa wauza mboga mza wakamfanya chombo cha starehe.sasa nadhani ni muda muafaka atafute shughuli nyingine afanye.wajanja msiingie mkenge, angekuwa analipa wangesha muweka ndani.
 

DMussa

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2007
Messages
1,312
Points
1,225

DMussa

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2007
1,312 1,225
Toba,

Sikujua CV inapima IQ !

Huyu ndiye aliyeenda shule mwenye wageni majununi, wenzangunamie kina Maimuna sijui watakuwaje.
Sure mkuu,
Sielewi ni kwa nini anafanya hivi lakini all i know kuna umuhimu wa huyu Manka kupata ushauri nasaha kuhusiana na maisha!! She might be brilliant in the academic world and very dull in the social world!!

Vijana ambao hamjaoa hii ni challenge kwenu....ila kumbukeni Kizuri chajiuza na kibaya .....
 

DMussa

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2007
Messages
1,312
Points
1,225

DMussa

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2007
1,312 1,225
13.(ACADEMIC CERTIFICATE)VIAMBATANISHO(VIVULI) VYA VYETI NIMUHIMU ILI NIWEZE KUPIMA IQ YAKO
Kuna ulazima wa hili au ndo anataka apewe feki!!! kuna watu wana 1st Class degrees feki, au ndio alivyosoma katika elimu yake kwamba IQ unaipima kutoka kwenye vyeti vya shuleni???

Huyo binti anhitaji relationship ambayo ni businesslike emotional?
Yep, she's not looking for Husband/wife thing but a home intertainer!! afurahishe rafiki zake, amdrive kazini etc!
Kifupi ni kwamba anahitaji msaada wa kitaalam...
 

TzPride

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2006
Messages
2,598
Points
2,000

TzPride

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2006
2,598 2,000
Jamani mnalalama nini? Kama huyu dada anataka mahabuba wake awe na vionjo hivyo, ninyi cha wakera nini? Kwani nanyi si mna vionjo vyenu? Atake Superman au yule kilaza wa nguvu ni hiari yake. Kama haufiti hapo kula kona, ok. Anachangua aliyenona, au vipi bwana..LOL! Tafuta mpaka umpate, hata kama utakuwa kikongwe lakini utakuwa umepata kitu roho inataka.
 

Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
4,130
Points
2,000

Masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
4,130 2,000
Hata mi nashangaa! Huyu dada kipi cha ajabu kafanya?

Yeye ndo anataka kuolewa na yeye si ndo inabidi aweke criterias jamani? kifupi the girl knows what she wants! Watanzania bwana hatuna dogo

Tumeshazea conventional wisdom kwamba mwanaume ndo atafute binti!

Kifupi Manka she is just persuing her dreams. Kama jamaa alivyosema hapo juu..hata angetaka muuza chipsi, mbeba Lumbesa, konda etcs...si ni yeye? tatizo wengine hizo sifa hawana na wanaona elimu iko juu...waungwana tujifunze ku apreciate maisha na matakwa ya wenzetu.

Manka Mushi knows what she wants, just like anybody serious, and she has a right to persue it as she like!

Acheni kuponda kila kitu. Angekuwa mzungu wengi hapa tusingeona ajabu...lakini kwa sababu ni mbantu mwenzetu ndo tunasagia na kumuona malaya! Its unfair!
 

Kithuku

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2006
Messages
1,397
Points
1,250

Kithuku

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2006
1,397 1,250
I’m not the same Manka from the global---- Iam Manka Solomon Mushi ok
Manka naheshimu uhuru wako na uamuzi wako wa kutangaza kuhusu unachotaka. Hata hivyo nakushauri tu kama mtu mzima kuwa angalia na tena kuwa makini sana na mbinu uliyotumia, inaweza kuwavutia zaidi wanaume wasiokuwa makini na ndoa kuliko wenye nia hiyo, unless unayehitaji ni company tu kwa muda fulani. Watakuja watu na maigizo yao, na itakuwia vigumu sana kumtambua yupi genuine, na nina mashaka sana kama wale wenye nia thabiti watajitokeza, hata kama wakijipima wanazo sifa ulizotaja. Kuna uwezekano mkubwa wa wale wanaume makini kudhani kuwa pengine una matatizo miongoni mwa wanaokuzunguka (unakofanya kazi, unakoenda kustarehe, michezoni, hata kanisani kama ni mkristo, majirani zako na kwingine unakokutana na watu), ndio maana unatafuta kwa mtandao. Halafu ingawa matangazo kama haya ni ya kawaida sana katika kurasa maalumu za kazi hiyo (ambako wanaotafuta wachumba huzitembelea), ukiweka tangazo hilo kwenye kurasa za mambo ya jumla kama pale kwa Michuzi au hapa utakutana na wengi ambao wanajisikia ama haziwahusu au wana matatizo yao fulanifulani na wewe au chochote alimradi kwa kuwa si mahali pake, wataharibu kabisa nia ya tangazo lako. Na hata ukitangaza kwenye kurasa za masuala ya kutafuta wachumba, huko nako kuna wasanii wengi sana (uliowaita time wasters, lakini si rahisi kumtambua time waster aliyedhamiria kukufanyia hivyo).

Nakushauri tu kwa umri wako huo ambao bado ni mdogo, hebu fikiria upya hiyo mbinu yako, maana nahisi itakuangusha. Tafakari upya utapata suluhisho bora zaidi. Nakutakia kila la heri.
 

Pundit

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2007
Messages
3,740
Points
1,225

Pundit

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2007
3,740 1,225
Kama anataka kuja na gia ya usomi aondoe hiyo reference ya kutaka CV ili 'apime IQ' otherwise atatupa mashaka kuhusu usomoi wake.

Kama CV zingekuwa zinapima IQ watu wa Papua NG wangekuwa na IQ za single digits.
 

DMussa

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2007
Messages
1,312
Points
1,225

DMussa

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2007
1,312 1,225
Kama anataka kuja na gia ya usomi aondoe hiyo reference ya kutaka CV ili 'apime IQ' otherwise atatupa mashaka kuhusu usomoi wake.

Kama CV zingekuwa zinapima IQ watu wa Papua NG wangekuwa na IQ za single digits.
Single digit IQ ....kwi kwi..kwi...kwi......
Mkuu umenikumbusha mbali sana maana hawa jamaa wa PNG nimewahi fanya nao kazi sehemu flani! Duh kweli CV sio kipimo cha IQ!
 

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,965
Points
1,225

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,965 1,225
Tobaaaa wachagga sasa mnatia aibu bussiness mpaka kwenye uchumba duh hii balaa aibu....uchumba hadi uwe na madegree hii sasa kali akina maimuna msitupe ndoano hapo...mtaumbuka buree
 

Forum statistics

Threads 1,391,116
Members 528,361
Posts 34,073,993
Top