kazi kweli: Kodi ya maendeleo Tabora yapanda mara dufu

CCM Oyeeeee mpaka.... sisi ndo wana Tabora bhana tukamueni mnavyopenda wakwanza kupanga vibajaji na vitex vimefungwa bendera ya li chama.
 
Niliyategemea sana haya. hafu huko si ndo wanasema serikali ilizaliwa huko? Basi waendelee tu kuvumilia!
 
Mkuu kumbe na wewe uliliona?

Nilishawahi kumuona Rage mara kadhaa akiwa pale Tabora. Kila anakopita utafikiri ni kokoro anavyobeba watu.

Watu walikuwa wakimwabudu na sasa watakiona cha mtema kuni. Vibendera vya CCM kila sehemu na ukiwaambia hata hawataki kukusikia na sasa muda umefika wa kuanza kulipa.

Ama kweli malipo ni hapahapa duniani. Komesha kabisa hawa Wanyamwezi wa Tabora.

Tukamuweni sana sisi Wanyamwezi maana tunasujudu kukamuliwa. Tusipokamuliwa, maziwa yanatuwasha. Pandisheni kila mwaka kwa RATE hii mnayoitumia sasa hivi hadi tukome.
CCM Oyeeeee mpaka.... sisi ndo wana Tabora bhana tukamueni mnavyopenda wakwanza kupanga vibajaji na vitex vimefungwa bendera ya li chama.
 
kodi ya maendeleo ya taxi na pikipiki imepanda toka 95000 mpaka 191000. Watu wa pikipiki na taxi wanalalama!

Ari mpya, nguvu mpya kasi mpya hukooooo tabora!

Source: Tbc kipindi cha dira


wanamlilia nani, na hao manyang`au waliyaweka wenyewe? Kazi kwao...

 
Back
Top Bottom