Fisherscom JF-Expert Member Mar 13, 2008 1,763 764 Dec 6, 2013 #2 unakimbia tu speed kama hao maswahiba.....
taamu JF-Expert Member Dec 11, 2012 10,158 8,044 Dec 6, 2013 #4 Namwambia shikamoo kaka dubu hatuna nia mbaya.
bysange JF-Expert Member Jan 11, 2011 4,456 1,563 Dec 6, 2013 #5 Huyo mwenye buluu maisha yake yapo mikokoni mwa numbu...
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,140 13,215 Dec 6, 2013 #6 hao jamaa nahisi mavi yanasukuma chupi
Mwl.RCT JF-Expert Member Jul 23, 2013 13,540 18,542 Dec 6, 2013 #7 Kibonge bila shaka ataanza kufanya mazoezi sasa
Tyta JF-Expert Member May 21, 2011 12,767 10,526 Dec 6, 2013 #8 Wawili wa kushoto wanathamini vifaa vyao vya kazi hata nyakati za hatari...
utafiti JF-Expert Member Jul 18, 2013 12,783 7,657 Dec 6, 2013 #9 taamu said: Namwambia shikamoo kaka dubu hatuna nia mbaya. Click to expand... Nimecheka usbuhi usbuhi
taamu said: Namwambia shikamoo kaka dubu hatuna nia mbaya. Click to expand... Nimecheka usbuhi usbuhi
utafiti JF-Expert Member Jul 18, 2013 12,783 7,657 Dec 6, 2013 #10 Usishangae wanakimbia speed 120 hao
mgeni10 JF-Expert Member Nov 29, 2010 1,109 369 Dec 6, 2013 #11 Wamchemka kukimbia , walitakiwa kushikamana pamoja na kumshinda huyo adui wao
sister JF-Expert Member Nov 23, 2011 9,014 6,846 Dec 6, 2013 #12 Ah unatoka nduki mpaka mbio zitakapokuishia
Shebeneza Senior Member Jul 21, 2013 139 25 Dec 6, 2013 #14 Ukisimama na kumtazama usoni huku ukicheka kwa sauti hakusogelei.
kadakokigondile JF-Expert Member May 17, 2013 1,872 634 Dec 6, 2013 #15 Ni mbio tuu halafu nakwea mti wa miiba
M moshingi JF-Expert Member Nov 15, 2011 278 92 Dec 6, 2013 #18 Nitahisi kama nipo ndotoni kila nikikimbia naona sisogei...
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,299 33,080 Jan 17, 2014 Thread starter #19 Katavi said: sasa kwa nini wanamkimbia? Click to expand... Hawamkimbii huyu mnyama ila wana tengeneza sinema mkuu.
Katavi said: sasa kwa nini wanamkimbia? Click to expand... Hawamkimbii huyu mnyama ila wana tengeneza sinema mkuu.
Pancras Suday JF-Expert Member Jun 24, 2011 8,143 3,830 Jan 17, 2014 #20 Nitakimbia mpaka nihisi miguu inazunguka kama tairi