Kazi Kulia lia tu, nawewe chukua fomu ugombee sio kuwaponda viongozi wetu.

Hashimu lwenje

JF-Expert Member
Oct 2, 2017
415
359
Kuna mtu mmoja humu kwenye hili jukwaa tokea hii awamu ianze kazi yake ni kuvimbisha mdomo tu, mpaka mishipa inamtoka kwa kuwaponda viongozi wetu na kuwachambua, utafikiri yeye ndie aliye wanunulia fomu za kugombea.

Eti huyu sio kiongozi bora, kumbe unalijua hilo kilichofanya usinunue fomu ya kugombea ni kipi, kama unajua uongozi si nawewe ugombee bas. Mtu hata udiwani anaogopa kugombea lakini kwenye kuponda, anajua utafikiri mshabiki wa MAN U. Hajui kucheza mpira ila anavo kosoa na kutukana wachezaji utafikiri mpira anauweza. Baba kama unaona viongozi huwapendi fomu zinauzwa, ni pesa yako, na nguvu sio kubwabwaja kila siku without action.

Utabaki kuongea wenzako wanakula mafweza, umebaki tu hafai hafai, SIASA NI MCHEZO MCHAFU, utachonga sana, ndio muda unaenda hivo.
 
Kuna mtu mmoja humu kwenye hili jukwaa tokea hii awamu ianze kazi yake ni kuvimbisha mdomo tu, mpaka mishipa inamtoka kwa kuwaponda viongozi wetu na kuwachambua, utafikiri yeye ndie aliye wanunulia fomu za kuogombea.

Eti huyu sio kiongozi bora, kumbe unalijua hilo kilichofanya usinunue fomu ya kugombea ni kipi, kama unajua uongozi si nawewe ugombee bas. Mtu hata udiwani anaogopa kugombea lakini kwenye kuponda, anajua utafikiri mshabiki wa MAN U. Hajui kucheza mpira ila anavo kosoa na kutukana wachezaji utafikiri mpira anauweza. Baba kama unaona viongozi huwapendi fomu zinauzwa, ni pesa yako, tuna na nguvu sio kubwabwaja kila siku without action.
Kwahiyo unataka kila anae mkosoa mtakatifu achukue form ya kugombea........mbona itakua kazi
 
Mtoa mada anamzungumzia mtu ambaye hatumii jina lake Bali ni I'd iloficha ukweli Wa jina lake
 
Mimi lazima niwaeleze ukweli, acha kutegemea watu, jitegemee wewe, kama unataka nchi ibadrike wwe unavyo taka chukua form, wewe kama wewe sio unafiki tu et bora fulani,
 
Alafu huyo fulani naye akikugeuka unaanza kulia lia, wenzako wanapiga mpunga umekazana kuwateta, wakati hata mia ww huna, badala yake badala ya kujiombea wewe umekazania wengine.
 
Wewe pia hili linakuhusu, hao viongozi wetu unao waponda uliwasaidia pesa ya kununulia fomu,
viongozi wenu ni akina nani mkuu?........


labda tuanzie hapo!..........


km unaongelea akina magufuli na wenzake, hao sio viongozi wenu, ni viongozi wa tanzania kwaio tunayo haki ya kudai matunda ya kodi zetu!........


kama ni wa huko lumumba au ufipa, sawa, hapo sihusiki maana hayo mavyama ni yenu..........
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom