Kazi kujitolea

Janemo

Senior Member
Aug 17, 2016
106
38
Hello,
Nimemaliza chuo mwaka jana (2016)
Natafuta kazi ya kujitolea kampuni yeyote nina degree ya environmental studies
Pia naweza kufanya data collection,data coding and analysis by SPSS, EIA, site verification na kuandaa ripoti kutokana na kazi husika.
Natanguliza shukrani zangu.
Plz ni pm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom