majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 453
- 635
Kazi nyepesi, utaonekana na kila mtu, uwe na uwezo wa kulia vizuri, sio kwa kelele sana, machozi lazima, utapewa historia ya marehemu, uwe unamtaja taja kila uliapo, malipo 20,000/- kwa siku, chakula, vinywaji na mkeka wa kulalia, dawa za mbu zipo...