Kazi kazi kazi kazi

Gereji

Member
Mar 5, 2018
13
13
Mimi ni kijana mwenye mafunzo ya udereva, mwenye leseni class A, B, D ninaomba msaada wa kazi ya udereva/mauzo/kuri/store/
Elimu: kidato cha sita

Lugha: fluent english & kiswahili

Makazi: kijitonyama Dar es salaam

Computer:nipo vuzuri Ms exel & word

Napatikana mda wowote ukinihitaji

Pia naweza kufanya kazi yoyote kama utahitaji kwani ni mtu ninayependa kujifunza mambo mapya na nipo tayari kupata changamoto mpya.
 
Mungu akuongoze kijana

Wadau naomben msaada saa za JF yangu kama sielew mfano kwa ss ni saa 21:43 lakin nkipost kitu inanambia nimepost 06:43 kwann nisaidien
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom