Kampuni ya usafi wa hotelini na maofisini ya BM inatoa ajira

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,517
2,945
Habar za muda huu waungwana!


Leo sijaja na maneno mengi,machache tu yenye faida.

kuna kampuni ya usafi wa hotelini na maofisini inaitwa five BM inatoa ajira kwa kijana yeyote mwenye elimu kuanzia darasa la saba na kuendelea.

muhimu ujue kufanya usafi,bidii ya kazi,nidhamu na kujituma.

kuwapata wahusika piga namba
0719384693

au fika manyanya nyuma ya msikiti wa mvumoni au tembelea fb page five BM..


shukrani
 
mshahara ni siri baina ya muajir na muajiriwa ila usaf nahc haizid 1.5 laki
 
Huezi kumtumikisha mtoto wa mtu kwa 150000 mwezi mzima, yaani 5000 kwa siku. Nauli tupige tu 800 chakula na maji 2500 cha mchana hiko. Muone vile
 
Back
Top Bottom