Kazi katika hotel ya kimarekani

east72

Member
Jul 13, 2013
36
2
Tunatafuta college graduates kwa kazi ya restaurant ya kimarekani.
Tuma cv to :charles@liberty-eagle.com
 
Ni vyema mkisema ni nafasi gani ili mtu aone kama anaweza au vipi, mtu huwezi ukaapply nafasi ambayo hujui unaenda kufanya kazi gani. Ukituwekea na range ya mshahara itakuwa poa zaidi
 
Nimesema hapo juu nafasi. You can check an ad on advertising Dar with all job description details.
sandwich artist.:bake bread,prep veggies and meats and make customer sandwiches. Log on to : WWW.Subway.com to learn more about us.
 
Hao wamekula hasara kama wewe ndo mwakilishi wao !! Hoteli ya kimarekani ndo nini bana, na hata mama Lishe wanaweza weka tangazo zuri la kazi. Na tangu lini subway ikawa hoteli ??? Mulugo huyu alaaniwe kabisa !!
 
hao wamekula hasara kama wewe ndo mwakilishi wao !! Hoteli ya kimarekani ndo nini bana, na hata mama lishe wanaweza weka tangazo zuri la kazi. Na tangu lini subway ikawa hoteli ??? Mulugo huyu alaaniwe kabisa !!

hahahahaha
 
Uko na matatizo wewe!!!!.toka kwa hii thread na ujifunze kuheshimu binadamu.
 
east72 nakuona kama ni mkenya mbangaizaji wamekuteua uwafanyie recruitment,bahati mbaya nawe kichwani ni mweupe bora sisi watanzania. Kwanza subway dunia nzima sio hotel bali ni food chain store. By the way,yule mkurugenzi mhindi ndio bado anaendesha kwa hapa tz au kachukua mwingine?
 
toa tanagazo la kueleweka hotel ipo masaki sehemu gani, post gani zipo deadline lini hiyo kijambazi sisi tz hapana taka iyo bana
 
Vipi Panju amefikia rank gani ya u Freemason?

Tatizo la Subway wafanyakazi wao hawawapi lunch wanawaacha wakale kwa mama ntilie Panju arekebishe hilo tatizo... inasikitisha kuwaona wafanyakazi wa food chain nzuri wanakula cheap food ambazo si safe kwa afya.... Nadhani pnju analipa mshahara mdogo sana... atabadilisha wafanyakazi wengi sana akijiona anapata faida huku dhambi zake zikiongezeka
 
east72 nakuona kama ni mkenya mbangaizaji wamekuteua uwafanyie recruitment,bahati mbaya nawe kichwani ni mweupe bora sisi watanzania. Kwanza subway dunia nzima sio hotel bali ni food chain store. By the way,yule mkurugenzi mhindi ndio bado anaendesha kwa hapa tz au kachukua mwingine?

Vipi Panju amefikia rank gani ya u Freemason?

Tatizo la Subway wafanyakazi wao hawawapi lunch wanawaacha wakale kwa mama ntilie Panju arekebishe hilo tatizo... inasikitisha kuwaona wafanyakazi wa food chain nzuri wanakula cheap food ambazo si safe kwa afya.... Nadhani pnju analipa mshahara mdogo sana... atabadilisha wafanyakazi wengi sana akijiona anapata faida huku dhambi zake zikiongezeka

Duh kazi ipo! Wanyonyaji wapo kila kona
 
hahahaa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom