Nadhan November wanatoa!
Professionals mkuu, lakini hata isipokuwa professional naomba taharifa.kwa proffesionals au?
Ni kazi za proffesionals au kuomba ujeda?
hbr ktk ndani ya jeshi nimejulishwa kuwa sasa hv wamemaliza mchakato wa kusail form vi science weny div 3,na wameshasambzwa nchi tatu kwa mafunzo.Muda huu wanatarajia kusaili digrii na diploma.then waende Afsa kadeti.ila mpaka walio phase 2 wa wamalize mwezi wa kumi 2,wakimaliza ndani huko watalipua za Nje.

wakurya wote free entry
Hujamuelewa au umechelewa, nyote mnaotafuta kazi jeshini someni vizuri #9 hapo juucjakuelewa.
Hujamuelewa au umechelewa, nyote mnaotafuta kazi jeshini someni vizuri #9 hapo juu