Kazi jeshini umeona au kusikia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi jeshini umeona au kusikia?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by BABA JUICE, Jul 1, 2011.

 1. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama kuna mtu ana latest kuhusu kazi jeshini anipe habari.
   
 2. L'AMOUR

  L'AMOUR Senior Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Watu walisharipoti ni wiki mbili sasa maana ilianza kwa wale waliopitia jkt kisha watu wakakimbia kupima afya zao na sasa watu wameripoti kimya kimya kuendelea na mafunzo yao
   
 3. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Una qualification gani? ni PM ili nicheki kama naweza kukusaidia. Si unajua mtu huwa anabebwa kama anabebeka!
   
 4. E

  Emeka Onono Senior Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu naomba nisaidie nami kama inawezekana,mm ni graduate
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  graduates c huwa wanaaply direct makao makuu au?
   
 6. E

  Emeka Onono Senior Member

  #6
  Jul 3, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cna uhakika,nipe utaratibu kama unafaham
   
 7. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Wakuu Jeshini kuna maslahi na mimi nirushe ndoano?
   
 8. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Mwakani namalzia b.a with education vp i will considered
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  makao makuu huwa wanatangaza kwa magraduates wa fani mbalimbali na huwataka waaply makao makuu ya jeshi,then baadae watawaita kwa interview,watakao fuzu,wanapelekwa TMA{Monduli}kuanza mafunzo,so jaribu kutembelea web yao na magazet mbalimbali as huwa wanatangaza.
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  yah,kupata unapata 2 as long as una vgezo vyote,ila huwa napenda kuwashaur zaidi wale wenye degree za engineering na medicine,hao ndo huwa wanapata shavu la ukwel kule.
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  inategemea na kitengo chako,elimu yako na cheo chako,my broh aliingia na degree ya engineering mwaka 2006,sa hz ana nyota 3 na atleast maisha yake yana mwelekeo as kila mwisho wa mwez ana uwezo wa kufanya saving na mambo mengne,so u can imagne..
   
 12. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  hakuna web ambayo ipo outdated kama jwtz
   
 13. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45

  Jeshini (JWTZ) kwa sasa wanahitaji watu wenye shule!! Ukiwa na shule yako kazi unapata. nadhani nimeeleweka ninaposema "shule"
  Napenda jeshi, na ninawapenda wanajeshi lkn sitaki kujiunga na jeshi - siyo kwamba siwezi kujiunga na jeshi! Sitaki! Because, one of my principle in my life is: I CAN'T LIVE WITHOUT NO!!!!!!!!!!! Kwa principle kama hiyo sifai kuwa mwanajeshi!
   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  bora umejitoa mapema 2,maana wanaweza kukuua,tena kama una kiburi ndo utakoma.
   
 15. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Umeona eeeeh?!!!
   
 16. E

  Emeka Onono Senior Member

  #16
  Jul 3, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu niPM tuchonge kidogo,nina shida mkuu tafadhali sana,mimi nimesahau kuPM
   
 17. MAKOSHNELI

  MAKOSHNELI JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 474
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 80
  ebwana nimesoma comments nyingi nimeona kama vile unashauliwa vibaya labda nikupe wasifu wangu,mimi kwa ushauri mbovu niliingia jeshi mwaka 2004 baada ya kumaliza chuo mlimani telecommunication engineering,nikapelekwa cadet TMA monduli miezi sita na kisha nikafauli vizuri sana nilikuwa ktk top five ya wanafunzi bora wa huo mwaka nikapelekwa uingeleza SUNDHURST mwaka mmoja then baada ya kurudi nikapewa nyota 3 nakuwa captain mwaka2007,kutokana na mazingira ya jeshi la tz kuwa ya kulemaza akili kukaa maofisini na kupiga soga kungoja mshahara,kutotumia taaluma yangu niliyosomea ya telecom kabisaa,kunifanya niwe tegemezi kila kitu jeshini,kwenye maduka ya jeshi nk iliniladhimu kuomba kuacha jeshi kwa hiyari mwaka 2009 mwishoni japo ulikuwa uamuzi wa kushtua but ilinibidi nifanye hivyo na nikaamua kujiajiri kwa kufungua ka-kampuni ka telecom,nakaita ka-kampuni coz hakana mtaji mkubwa,nafanya kazi zote za telecom hasa za minara ya simu kama installation nk kwa haraka am making more than 150 mill Tsh/= kwa mwaka wkt jeshini nilikuwa napata maximum 24million per year! utagundua kazi zingine ni sifa tu kuwa we ni mwanajeshi lakini nyumbani njaa imekujaa,mfano mzuri angalia wanajeshi wastaafu maisha yao yalivyo! nikwasababu walizoea kila kitu kufanyiwa na jeshi,kwanzia nguo,malazi,vyakula,bili za umeme,maji nk USIWE NA BAHATI MBAYA UKAENDA JESHI NI BORA UJIAJIRI MWENYEWE KIJANA jeshi ni jina tu ila njaa ipo mifukoni mwao,kama umesomea ualimu thats fine nenda ktk hiyo post watakayokupa anzisha tution kuwa mwalimu wa part time shule nyingine mbona walimu wapo wanamake more than 5 mill per mwezi kijana!usiwe na ule mtizamo wa siku zote wa FAULU-NENDA CHUO KIKUU-MALIZA CHUO-AJIRIWA-THEN OA/OLEWA unaweza ukajiajiri pia inalipa mimi nipo tayari nikawe mchimba madini na kuuacha uinjinia wangu as long as kama kunafedha zaidi ya huku niliko "KAMA HAI-MAKE ELA THEN HAILETI SENSE" TAFUTA PESA SIO JINA LA AFANDE UPUUZIIIII UTAISHIA KUPIGIWA SALUTI HAKU MFUKONI WE NI KAMASKINI FLANI HV
   
 18. E

  Emeka Onono Senior Member

  #18
  Jul 3, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka umeongea la maana but tatizo ni kuanza tu mkuu,nikipata mwanzo basi nitaendelea mwenyewe,naomba niPM tuongee chamber mkuu unawezaq kunisadiia
   
 19. E

  Emeka Onono Senior Member

  #19
  Jul 3, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nitaku PM mkuu unipe mawazo
   
 20. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  By the way umetoa ushauri mzuri lkn huo ushauri unafaa kwa watu wenye professionalism kama yako ambayo inalipa lkn kaka kwa ualimu nchi bora nikimbilie zangu jeshini.
   
Loading...