Kazi jamani Wizara ya Fedha na Uchumi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi jamani Wizara ya Fedha na Uchumi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by saggy, Oct 18, 2009.

 1. s

  saggy Senior Member

  #1
  Oct 18, 2009
  Joined: Nov 12, 2008
  Messages: 153
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa wale wenzangu ma Accountants na Auditors hebu tujaribu bahati yetu Wizara ya Fedha wametangaza Kazi kaibao....
   

  Attached Files:

 2. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,940
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Asante sana.Ubarikiwe
   
 3. P

  PUNJE JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2009
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 324
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  ....................UBARIKIWE NA mOLA AKUONGEZEE MAARIFA NA HEKIMA
   
 4. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu, be blessed!
   
 5. C

  Chap Member

  #5
  Oct 19, 2009
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu saggy,
  Ushukuriwe kwa post yako ktk jamvi hili
   
 6. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,160
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ni zile ambazo ukipresent CV na vyeti, vikawa ok unapangiwa kituo nini?
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,941
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  hii wizara ina bajeti kubwa sana ya chai. Lazima nitupe ndoano zangu
   
 8. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 477
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Mkuu asante sana
   
 9. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 978
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Asante sana kwa hizi information
   
 10. A

  ASHA HASSANI New Member

  #10
  Oct 20, 2009
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thank you so much fo the updates bse watu wengi magazeti yanatupitia mbali.ingependeza sasa pi wale human resorces and administrative officers nao wakumbukwe kwenye nafasi za kazi.TAMISEMI HAINA MABORESHO HAYO.:rolleyes::confused:
   
 11. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 10,804
  Likes Received: 3,460
  Trophy Points: 280
  Hivi TGS. D ni mshahara(net salary) kiasi gani?
   
 12. AljuniorTz

  AljuniorTz JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2009
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 544
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hii inakuwaje??? kama sitaki ajue naomba kazi sehemu nyengine je???.
  Nipeni mbinu wandugu, nipo ktk halmashauri huku vijijini kabisa, maombi yangu nikimpelekea bosi wangu najua atakataa, nifanyeje na nataka nijaribu bahati yangu nihamie miji mengine???
   
 13. SONGEA

  SONGEA Senior Member

  #13
  Oct 24, 2009
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Jaribu kutimiza mashsrti ya kazi yote yanayotekelezeka. Hilo la kupitisha kama ni gumu kulingana na mazingira yako ya kazi achana nalo jaribu kutuma hivyo bila kupitisha. Kwani wanaotangaza kazi hayo wanayajua
  Mwajiri mwingine ukipitisha barua mnaanza ugomvi, kisa amejua kuwa unaomba kazi. Lakini pia uaweza kumwombamtu mwingine ambaye siyo "TOP BOSS" akakupitishia maana maboss wengine wanaelewa!!
   
 14. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  hii huwa wanapata wengi
   
Loading...