Soulbrother JF-Expert Member Apr 14, 2009 405 14 Jan 14, 2010 #4 Nabaki bongo, vitu vya hapa ni vya kiasili, natural na havina vichochezi aina yoyote. Kuku wa kienyeji for life
Nabaki bongo, vitu vya hapa ni vya kiasili, natural na havina vichochezi aina yoyote. Kuku wa kienyeji for life
FirstLady1 JF-Expert Member Jul 29, 2009 16,792 5,374 Jan 14, 2010 #5 mh ..kuna vituko duniani . ila mie nilijiuliza swali iweje mtoto wa miaka 12 apate wazo la kubadili jinsia??
mh ..kuna vituko duniani . ila mie nilijiuliza swali iweje mtoto wa miaka 12 apate wazo la kubadili jinsia??
Soulbrother JF-Expert Member Apr 14, 2009 405 14 Jan 14, 2010 #6 FirstLady1 said: mh ..kuna vituko duniani . ila mie nilijiuliza swali iweje mtoto wa miaka 12 apate wazo la kubadili jinsia?? Click to expand... malezi mabovu... hawa watoto hawapati muda wa kuspend na wazazi na muda mwingi wanaangalia tv, wanapitia site ajabu online.... Matokeo... i think am a girl.... baade ukitaka kuwa dume inakuwaje? Bongo wazo letu moja tu... i think am gonna be super duper rich...
FirstLady1 said: mh ..kuna vituko duniani . ila mie nilijiuliza swali iweje mtoto wa miaka 12 apate wazo la kubadili jinsia?? Click to expand... malezi mabovu... hawa watoto hawapati muda wa kuspend na wazazi na muda mwingi wanaangalia tv, wanapitia site ajabu online.... Matokeo... i think am a girl.... baade ukitaka kuwa dume inakuwaje? Bongo wazo letu moja tu... i think am gonna be super duper rich...
FirstLady1 JF-Expert Member Jul 29, 2009 16,792 5,374 Jan 14, 2010 #7 American lady said: kazi ya mungu hiyo wapenzi. Click to expand... American lady hii ni kazi ya mungu kweli?
American lady said: kazi ya mungu hiyo wapenzi. Click to expand... American lady hii ni kazi ya mungu kweli?